Next
Previous
Showing posts with label Wema Sepetu. Show all posts

Sunday, February 2, 2014

0

ONA JINSI JOKATE ALIVYOMMWAGIA MAHELA WEMA SEPETU HUKU WAKICHEZA NGOLOLO HUKO ARUSHA

Posted in , , , ,
Hii ilikuwa usiku wa jana tarehe 1 pale Triple A Club iliyopo pande za Arusha, ilikuwa ni show ya Ma divas ambapo walikuwepo kama Wema Sepetu, Kajala, Aunt Ezekiel pamoja na Jokate ambaye hakuwepo kwenye banners. Mara wakazi wa Arusha ndipo walipoanza kupiga shangwe pale Jokate alipoanza kumwagia mijihela mwanadada Wema stejini huku DJ akiwapigia wimbo wa Diamond unaoitwa My Number One.

Tuesday, November 26, 2013

0

WEMA SEPETU AMCHUKULIA HATUA KALI MUONGOZAJI WAKE

Posted in ,
Baada ya kasha nzito kusambaa kwenye magazeti kwamba magari ya Wema Sepetu kutumiwa na wafanyakazi wake kufanyia ngono, Wema Sepetu amemtimua director wake ambaye anaonekana kwenye picha.


Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake.

Kwa mujibu wa tovuti ya bongoclantz ya kupata taarifa hizo Wema aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo kung’olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo.

Thursday, October 10, 2013

0

DIAMOND PLATNUMZ NA WEMA SEPETU WAKIWA LOCATION CHINA

Posted in ,

Friday, August 2, 2013

0

BAADA YA NYOTA KADHAA WA BONGO MOVIE KUANZA KUIMBA, SASA WEMA SEPETU NAYE KUANZA

Posted in ,
Wema Sepetu miss Tanzania aliyegeuka kuwa muigizaji, ameweka wazi kwamba anataka kuimba na katika kuthibitisha hilo ameshaandika mistari kadhaa ya anachotaka kuimba. Wema alishawahi kuimba kwenye wimbo wa kuhamasisha kumchangia msanii Sajuki wakati anaumwa. Wimbo huo unaitwa “Mboni yangu”, so kuingia kwenye booth kurekodi wimbo sio kitu kipya kwa Wema Sepetu. Hii ni baadhi ya mistari ambayo ameshaandika Wema Sepetu kwa ajili ya wimbo huo.

Mwambie wake ni mimi, na kwangu moyoni atabaki ni yeye, tena mwambie bado silali kutwa nawaza penzi langu… ila siku atakugundua kuwa mi ndo mwenyewe..................

Mpaka sasa hivi ni wimbo mmoja Wema alirekodi kwa kushirikiana na Snura ambapo Tunda Man alishiriki pia kuuandika.

Sunday, July 21, 2013

0

PHOTOS: WEMA SEPETU AKIFUTURISHA NYUMBANI KWAKE

Posted in ,
WEMAAFUTURU3
Mrembo anayetamba kwenye filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au Madam jana alifuturu pamoja na wageni wake nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waliofuturu pamoja na Wema ni pamoja na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Petit Man ‘Wakuache’ na wengineo.
WEMAAFUTURU4

Friday, July 12, 2013

0

PICHA: WEMA SEPETU AKIDENDEKA

Posted in

Video inayomuonesha staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akidendeka na mwanaume imevuja mtandaoni na Ijumaa lina kopi yake kibindoni.

Thursday, July 11, 2013

0

PICHA: MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU

Posted in , ,
Picture
Mmiliki wa Endless Fame Production akiwa na Meneja wake Martin Kadinda

Saturday, July 6, 2013

0

WEMA SEPETU REALITY SHOW KUKUJIA HIVI KARIBUNI | IN MY SHOES

Posted in

Thursday, June 27, 2013

0

ONA JINSI WEMA SEPETU ALIVYOKUWA AKIMTUKANA MLINZI WAKE BAADA YA KUIBIWA

Posted in

Msanii nyota wa Bongo movie, Wema Sepetu, leo hii amejikuta akitoa matusi ya nguoni kwa mlinzi wake baada ya kukuta gari lake likiwa limeibiwa power window na betri la gari lake kuchomolewa.
hali hiyo imetokea nyumbani kwake Kijito nyama, pale alipokuwa akijaribu kuwasha gari lake na kuondoka.
video hii inaonyesha masjirani waliposkia kelele za matusi kutoka kwa mwanadadiva huyo waliamua kupanda sehem na kuchukua video ya kilichokuwa kikiendelea kwa kujificha.

Wednesday, June 26, 2013

0

KAJALA ASEMA ASEMA HANA TATIZO NA WEMA SEPETU (SOMA ALICHOKISEMA)

Posted in ,


Baada ya siku chache za magazeti ya udaku nchini kuripoti kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wa karibu sana kati ya mwanadada Wema sepetu na Muigizaji mwenzake Kajala masanja, tuliamua kufanya uchunguzi wa kina ili kupata ukweli wa suala hili ili tusije kuipotosha jamii kwa habari za zisizo na ushahidi wowote.

Katika habari iliyoripotiwa na blogs na magazeti kadhaa ya udaku kuhusu kuvunjika kwa uhusiano huo zilisema kuwa chanzo ni vitendo vya mwanadada wema Sepetu “kumbania” Kajala kwenye dili anzopata za kucheza filamu na hasahasa kumkosesha dili ya kwenda china kufanya filamu aliyoalikwa na watanzania waishio nchini humo.

Tovuti ya Bongomovies.com inareport kwamba iliamua kuwatafuta hewani wasanii hawa ili kupata ukweli wa jambo hili na mwanadada Kajala alikuwa wa kwanza kupokea simu na alikanusha vikali habari hizo na kuwashangaa wanaoziandika wanazipata wapi.

“Unajua mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno wanayoandika, mimi sina tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye, wema amekuwa msaada mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema, huo ni uzushi tuu jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema kajala.

Alipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya na wolper alisema
“Wolper nimekutana naye kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi sitakiwi kupiga picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki yangu” Alisisitiza Kajala.

Tulipojaribu kumtafuta wema simu yake ilikuwa haipokelewi na baadaye ilipokelewa na alisema yuko location anatengeneza filamu na mwigizaji Rado hivyo tumtafute baadaye.

Monday, May 20, 2013

0

HILI NDILO DILI LA MAMILIONI ALILOLIPATA WEMA SEPETU

Posted in ,
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.
72b3721cc13c11e29bea22000a1f90d2_7
Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
1e5afc9ec13c11e2987d22000aaa0a97_7
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.

Saturday, May 11, 2013

0

HIVI NDIVYO JINSI MSAFARA WA MWANADADA WEMA SEPETU ULIVYO ANAPOSAFIRI

Posted in ,


Wema Sepetu sasa hivi yuko kama rais wa Ngome yake ya Endless Fame filims. Akiwa kwenye safari ya kuelekea Dodoma kwenye party ya uzinduzi wa msimu mpya wa Clouds FM Twenzetu na crew yake ya Endless Fame na watu kama PetitMan,TIntyDaddy na Kajala, kwenye gari ambalo yeye yupo ndani yake lilikuwa linapepea kibendelea cha logo ya kampuni yake Endless Fame.

Tuesday, May 7, 2013

0

MDOGO WAKE WEMA SEPETU ASHINDWA KUINGIA TOP 5 MISS KILIMANJARO.

Posted in , ,

MREMBO, Winnie Shayo, amefanikiwa kutwaa taji la Redd’s Miss Hai 2013 katika shindano lililofanyika katika Hoteli ya Snow View iliyopo Bomang’ombe, mwishoni mwa wiki mjini hapa baada ya kuwashinda wenzake kumi akiwamo mdogo wa Wema Sepetu.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na mshiriki Mary Chemponda huku nafasi ya tatu ikienda kwa Catherine Leonard.
Warembo 10 waliokuwa wakiwania taji hilo katika shindano la kwanza la kufungua pazia kwa upande wa mashindano ya Mkoa wa Kilimanjaro, walipita jukwaani na vazi la ubunifu la jioni kisha kuhitimisha na vazi la ufukweni.
Winnie, ambaye ni mwanafunzi wa masomo ya uhasibu nchini Uganda, akizungumza na Tanzania Daima alisema nia yake ni kujiendeleza kimasomo, lakini bado ana mapenzi kwenye sekta ya ulimbwende na kusisitiza kuwa faraja anazopata kutoka kwenye familia hasa wazazi wake ndizo zilizofanya yeye kuingia kwenye shindano hilo.
Alisema amejisikia furaha baada ya kufanikiwa kushika nafasi hiyo na kwamba, anatamani kuwa mwakilishi mzuri wa mashindano yaliyoko mbele yake, yakiwemo ya ngazi ya mkoa, kanda na hatimaye taifa.
Shindano hilo lilisindikizwa na burudani kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rich Mavoko na kuhudhuriwa na mamia ya mashabiki wa urembo kutoka katika miji ya Moshi na Arusha, wengi wao wakiwa ni wafanyabiashara wa madini katika mji wa Mererani.

Saturday, May 4, 2013

0

PREZZO NA PENZI LA WEMA SEPETU

Posted in ,

BAADA ya uvumi kwamba msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kenya Prezzo amezama kwenye mahaba mazito na msanii wa filamu nchini Tanzania Wema Sepetu, Msanii huyo ameshikwa na kigugumizi na kushindwa kukanusha tuhuma hizo.
Prezo ambaye alifiwa na mchumba wake ambaye pia alikuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Nigeria marehemu Goldie Harvey, aliyefariki dunia February mwaka huu, juzi alishindwa kudhibitisha tuhuma hizo baada ya kuulizwa swali na kushindwa kulijibu.
Prezo ambaye yuko nchini kwa ziara ya muziki alionekana katika picha za mahaba akiwa na Wema Sepetu, hata hivyo Wema aliwahi kukanusha picha hizo na kudai kwamba walipiga wakati walipokuwa wakirekodi filamu mpya ya Wema na kwamba hana mahusiano yoyote ya mapenzi na msanii huyo.
Akiwa katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha mapenzi kilichorushwa usiku na Redio Clouds FM Prezo alishikwa na kwi kwi cha gafla baada ya kutakiwa kudhibitisha juu ya uvumi kwamba amenasa kwenye mahaba mazito na mrembo huyo mwenye skendo za kubadilisha wanaume kila kukicha.

Friday, May 3, 2013

0

LULU NAYE AYALALAMIKIA MAGAZETI YA UDAKU

Posted in , ,
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEjK1MDkUP65ibqe7c-aXfcFPt2bIkaw227EY1ftG8Ov6_dsyBl4UP6vPt4mxIpBY9P5SPky7a3Qgxh7wirdPcq0pciC1tRmyj3cnNMsbNWai4WWmp5gdTtdY-qEjSjEWizRUVmS_xfAs/s1600/L2.jpg
Katika kile kinachoonekana kukerwa na vitendo vya vyombo vingi vya habari hususani magazeti ya kadhaa ya udaku yanoyochapisha habari za uongo kuhusu wasanii wa bongo movies kwa ajili ya kuuza magazeti yao, hatimaye msanii Elizabeth Michael  “lulu”naye ameamua kuyaweka wazi ya moyoni mwake bila kuficha baada ya gazeti  moja pendwa (Jina tunalihifadhi) kuchapisha habari iliyopew kichwa kisemacho “Lulu, wema, Diamond afya mgogoro”ambayo imeonekana dhahiri kumkera mrembo huyu na kuamua kaundika haya yafuatayo kwenye ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii.
“..Imekuwa ni kawaida ya mtu kujisikia kusema chochote...muda mwingine mnaweza mkahisi hatuoni au mkahisi kukaa kwetu kimya ni wajinga!!mm kama mm napenda kuwajulisha kuwa LULU mliyekuwa mnamjua sio LULU wa ss...msitegemee kusikia nabisha au kupigizana kelele...fanyeni kazi yenu lakini sio kuchafuana na kuipotosha jamii....!!!nadhani kimya changu kina majibu mengi.. Lulu anakuwa msanii wa pili kwa kipindi cha wiki mbili kukasirika hadharani baada ya mwanadada batuli kulaani kitendo cha gazeti moja la udaku kuandika habari za uongo kuhusu yeye.

Thursday, May 2, 2013

0

U HEARD??: PENZI JIPYA LACHIPUKA | NI KATI YA MWANADADA WEMA SEPETU NA IZZO BIZNESS

Posted in ,

Wednesday, May 1, 2013

0

HII NDIYO #TEAM_ENDLESS FAME YA WEMA SEPETU

Posted in ,

 

Hiki ndio kikosi ambacho wema anakiamini sana kwa sasa,katika kila kitu katika maisha yake hawa ndugu rafiki na hata wafanyakazi wake anaamini ipo siku maisha yake na yawafanyakazi wake yatakuwa sawa kimaendeleo. alilisema hilo kutokana na mshahara mzuri na mikataba mizuri aliyowapa wafanyakazi wake ambayo haiwabani hata kidogo.

Monday, April 29, 2013

0

HUYU NDOO MZEE SEPETU (BABA MZAZI WA WEMA SEPETU)

Posted in
Leo hii kupitia mtandao wa Instagram, Pttiman alitupia picha akiwa baba yake mzazi, mzee Sepetu, huku pembeni akiwepo mtu wake wa karibu sana "Pettiman. Nimeona ni vizuri kushare na wewe, kwasababu nilikuwa sijawahi kabisa kumuona sehem yoyote

Tuesday, April 23, 2013

0

ALICHOKISEMA DIAMOND, KUHUSU KUMREKODI WEMA NA KUSAMBAZA CLIP HIYO MTANDAONI, HIKI HAPA

Posted in , ,
Skendo iliyokuwa ikiendelea mtaani kuhusu msanii Diamond na tuhuma za kumrekodi aliyekuwa mpenzi wake wa zamani mwanadada Wema Sepetu, msanii huyo amekir kuwa ni kweli alifanya tuhuma hizo kwaajili ya kulinda penzi lake.

“Hivi karibuni Wema amekuwa akinipakazia mbovu kwa mpenzi wangu Penny akiwa na leno la kutaka kuni haribia juu ya mimi na mpenzi wangu, nilichukia sana kwahiyo siku alivyoamua kunipigia simu ndipo niliamua kumrekodi ili kumsikilizisha Penny ambaye alikuwa haniamoni kabisa” Alifunguka Diamond.

Sauti hiyo ambayo ilitoka kwa Wema Sepetu ikiwa inambembeleza Diamond waweze kurudiana pamoja kwakuwa bado anampenda, Diamond amekiri kuirekodi hiyo sauti lakini amekana kuisambaza mitaani na hajui nani kafanya hivyo.

“Lengo langu kubwa ilikuwa ni kurekodi sauti hiyo na kumsikilizisha Penny, sasa ambaye aliichukua na kuisambaza mitaani sijui ni nani, lakini hata mi sikujisikia vizuri nilipoisikia mitaani maana sikupenda hali iwe hivyo lakini ndo sina jinsi” aliongeza Diamond.

Baada ya kukiri kujutia, Diamond aliambiwa aombe msamaha Live ili Wema asikie ila alikataa na kusema hawezi kumuomba msamaha maana haoni kosa lake.

Friday, April 19, 2013

0

ALOCHOKIANDIKA WEMA SEPETU KUHUSU KUCHOKA MAISHA

Posted in
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/04/113.png
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/04/210.png
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ