Next
Previous
Showing posts with label Jokate Mwegelo. Show all posts

Sunday, February 2, 2014

0

ONA JINSI JOKATE ALIVYOMMWAGIA MAHELA WEMA SEPETU HUKU WAKICHEZA NGOLOLO HUKO ARUSHA

Posted in , , , ,
Hii ilikuwa usiku wa jana tarehe 1 pale Triple A Club iliyopo pande za Arusha, ilikuwa ni show ya Ma divas ambapo walikuwepo kama Wema Sepetu, Kajala, Aunt Ezekiel pamoja na Jokate ambaye hakuwepo kwenye banners. Mara wakazi wa Arusha ndipo walipoanza kupiga shangwe pale Jokate alipoanza kumwagia mijihela mwanadada Wema stejini huku DJ akiwapigia wimbo wa Diamond unaoitwa My Number One.

Tuesday, September 10, 2013

0

ALICHOSEMA JOKATE, JUU YA MAHUSIANO YAKE NA LUCCI

Posted in ,

Kumekuwa na minong’ono mingi juu ya Jokate na jamaa mmoja aitwae Lucci kuwa wanamahusiano ya kimapenzi, leo Jokate mwenyewe kupitia account yake ya instagram amesema haya:“Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that’s what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko

 maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule. Ila I’m a pretty good girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don’t be fooled by my PRETTY BABY FACE I know what I want, am fierce and I don’t take trying to tarnish my image easily. So kindly don’t mess with KIDOTI. Msione mtu mkimya mkajua ndio wa kumuonea. Still waters run deep 3. Yes there’s some guy I’m checking out. Like any other female I deserve love cause I got so much love to give hey. So whoever it is tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno. Have a blessed evening!!!..”

Wednesday, August 28, 2013

0

VIDEO YA LUCCI & JOKATE (KAKA DADA) YAGHARIMU 10-12 MILLION

Posted in ,
Video ya Jokate na Lucci iliyotengenezwa na production za ogopa kutoka kenya imegharimu jumla ya million 10-12 Tsh.

Lucci na Jokate wanamipango ya kuendeleza kaka dada mpaka kwenye movie.

Saturday, August 24, 2013

0

JOKATE FT LUCCI - KAKA DADA (OFFICIAL HD VIDEO)

Posted in ,

Monday, August 19, 2013

0

JOKATE FT. LUCCI {COMING SOON}

Posted in ,

Tuesday, August 13, 2013

0

THE SESSION: PATA KUJUA MENGI KUHUSU PRODUCER LUCCI WA TRANSFORMAX STUDIOS

Posted in , , , ,

Friday, June 28, 2013

0

BAADA YA DIAMOND KUKIRI KUWA ALIMKOSEA | HICHI NDICHO ALICHOSEMA JOKATE

Posted in ,


Jokate aongea baada ya Diamond kukiri kuwa anajuta kumkosea na kuuvunja moyo wake..!!!

Akiongea jinsi alivyomuumiza Jokate,Diamond alisema 'Kwasababu alikuwa too innocent halafu hakuwahi kunikosea kitu chochote Jokate kabisa,halafu nikamwingiza kwenye matatizo,watu wakamchukulia tofauti kwamba 'Jokate kumchukua wema Boyfriend wake' wakati nilimfuata mimi kama mimi, nilimtafuta mwenyewe halafu then nikawa niko naye halafu ghafla nikarudisha mahusiano kwa wema.Sikujisikia vibaya halafu still haikuwa vizuri sometimes nikikaaga hivi nasema nilimkosea.

Kwa upande wa Jokate anasema, Watu wengi hawajui the real issue,I'm grad kama ame acknowledge I was innocent in that whole matter.

Sunday, December 30, 2012

0

WALIOVUMA NA KUCHIPUKIA KATIKA FASHION MWAKA 2012

Posted in , , , ,

Katika Mwaka 2012 ambao Ndiyo tunaumaliza, Yamejiri mengi hasa ukizingatia katika fashion. Wengi wamejitokeza, na staili nyingi za kimavazi zilichipuka. Ntakayoyataja hapa chini ni Baadhi ya hayo:

1. Kuchipukia Kwa Martin Kadinda na "SINGLE BUTTON"
Martin Kadinda, Ambaye ametokea katika office za studio maarufu jijini I-View, alikuja na style ya suti za Single Button na kushika sana kasi, kwa kuvaliwa katika Tafrija mbalimbali, huku zikipata jina zaidi kwa kuvaliwa na wasanii kama DIAMOND, OMMY DIMPOZ na wengineo. Hii Ni Hatua Kubwa Saana Kwa Kijana Huyu ambaye pia alizindua ngua aina ya "VIBUNDUKI SHORTS.









2. Jokate Mwegelo Aja na KIDOTI
Huu Ulikua ni mwaka wake mdada huyu mwenye vipaji lukuki, Akiwa ni VJ wa MNET/Channel O Africa. Mwaka Huu alizindua Label yake ya mitindo maarufu kama KIDOTI. Licha ya kua na kashfa za kujihusisha kimapenzi na msanii Diamond Platinumz, Yeye aliendelea na Kusonga mbele. KIDOTI ni chapa inayosimamia ubunifu wa Mavazi na Nywele kwa ajili ya kina dadana wanaMama.

Friday, October 26, 2012

0

SHILOLE NAYE AKAA UCHI: Hii Tabia Sijui Wabongo Wameitoa Wapi??

Posted in , ,
KATIKA kile kilichoonekana kama wasanii wa Bongo Movies wana ‘aleji’ na kujisitiri miili yao, baada ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, safari hii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanika sehemu zake za siri kweupe.

Mpaka sasa tuna picha zinazomwonesha Shilole ambaye kwa sasa amegeukia muziki wa mduara, akiwa jukwaani huku akionekana hana habari kabisa na kitu kinachoitwa staha achilia mbali heshima.

Chanzo chetu cha habari kwa sharti la kutotajwa jina lake , kilinyetisha kwamba, Shilole amekuwa na kawaida ya kujiachia kihasarahasara hasa anapokuwa kwenye shoo na bendi yake.

Monday, October 8, 2012

0

ITS FINALLY HERE: KIDOTI IS OFFICIALLY LAUNCHING THIS WEDNESDAY 10-10-2012, @SERENA HOTEL.

Posted in , ,
KIDOTI IS OFFICIALLY LAUNCHING THIS WEDNESDAY
10-10-2012, @SERENA HOTEL.

“You’ve never seen anything like it. Because there’s never been anything like it.”

Sunday, September 9, 2012

0

DIAMOND PLATINUMZ AMWONYESHA MPENZIYE MPYA

Posted in , , , , , ,

Diamond Platinumz Na Mpenziwe Nuzlah M Abubakar.



Baada ya maneno ya hapa na pale.Mara karudiana na Wema ,mara bado yuko na Jokate nk. Atimae Msanii HoT anaeshika usukani kila idara kwenye game ya Bongo fleva kwa sasa Diamond Platnums,ameamua kumuweka wazi mpenzi wake mpya anaejulikana kwa jina Nuzlah Abubakar.Diamond ambae bado hajaoge chochote zaidi ya kuweka picha hizo kupitia mtandao wake wa facebook na twitter kua yuko engaged na mrembo huyo,amewaacha mashabiki na watanzania waliowengi wakijiuliza wenyewe pasi nakupata majibu yoyote toka kwa wahusika.
Nuzlah ambae nae kwa upande wake pia anasomeka kua yuko engaged kwa Mtoto huyo wa kimanyema Diamond.Nimfanyakazi wa shirika la umoja wa mataifa anaeishi nchini Kenya kwa Raisi Mwai kibaki.kama anavosomeka kwenye profile yake kwenye mtandao wa facebook.Hivyo isije kua ajabu kumuona Mnyaama Platnumz kwenda kwa kina Prezoo au kuamia uko mazima kama ilivyo kwa wasanii wengine kama AY,Hussein Machozi na RayC.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ