Next
Previous
Showing posts with label Prezzo. Show all posts

Wednesday, July 17, 2013

0

KUMUOMBA DIAMOND MSAMAHA KUPITIA TWITTER NI UTOTO - ASEMA PREZZO

Posted in ,


Rapcellency, Prezzo amesema hawezi kumuomba msamaha Diamond kwenye Twitter kwakuwa anaamini hakuna alichomkosea na ni jambo la kitoto.
Akiongea jana  mchana kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen, kinachoendeshwa Mzazi Willy M. Tuva, Prezzo amesema Diamond ndiye aliyemchokoza baada ya wasanii hao kutumbuiza mwanzoni mwa mwezi huu kwenye tamasha la Matumaini.
 Prezzo anadai aligundua kuwa Diamond alimponda kwenye magazeti ya Tanzania kuwa hamwezi kwa lolote kwenye muziki.

“Mimi sipendi kuwa na adui kwa sababu muziki unafaa kuleta muungano, sa me nikashangaa mbona huyu brother ananiingilia na huku sikumbuki kumkosea wala hatujawai kukutana ana kwa ana,” alisema Prezzo.

“Mtu yeyote anamjua Prezzo ni kama rattle snake, ukimchokoza you have to get prepared to be bitten.”
Rapper huyo aliendelea kudai kuwa alimpigia simu Diamond lakini hakupokea na ndio maana aliamua kumdiss kwenye Twitter.
   “Jamaa hakupokea simu nikaona ah! Basi liwalo na liwe, nikadecide ku-air my views.”

Hata hivyo Prezzo amesema hawezi kumuomba msamaha Diamond kwenye Twitter kama anavyomtaka afanye.
   “Unaona kwa saa hizi akianza kusema aende kwa Twitter aniombe msamaha, maisha huwa hayaendi hivo…kwa hivyo vitu vingine naona ni kama ni utoto unaingilia kati, kwani yeye kusema niombe msamaha kwa Twitter….niombe msamaha kwa kosa gani? Kusema ukweli,unajua mimini msema ukweli, mimi kuomba msamaha kwa Twitter naona kidogo ni utoto.”

Hata hivyo Prezzo amesema hataki beef na Diamond kwasababu anamheshimu na amemshukuru Willy Tuva kwa kujaribu kuwasuluhisha.
  Source: Mambo Mseto (Radio Citizen), Ghafla Kenya


Saturday, July 13, 2013

0

SOMA ZAIDI KUHUSU BIFU YA DIAMOND PLATNUMZ NA PREZZO

Posted in ,
Prezzo July 7 2013 na Nelly 1




Kama umekua karibu na vichwa vya habari kwa wiki hii kuna uwezekano mkubwa ukawa umekutana na habari mbalimbali zilizoandikwa kuhusu kutoelewana kati ya Diamond Platnums na Prezzo wa Kenya ambapo inadaiwa hii ishu ilianzia magazetini

Prezzo July 12 2013 on Beef on ama vpkuliko mkariri Diamond Platnums kusema angemkalisha Prezzo kwenye show ya Matumaini ambayo ilifanyika July 7 2013 Uwanja wa Taifa.
Prezzo on Diamond Platnums July 10 2013 gazeti lenyewe
Gossip Cop Soudy Brown alipofanya mahojiano na Prezzo, staa huyu wa 254 alionyesha kutopendezwa na kauli ambazo Diamond Platnums alizitoa kwamba atamkalisha hata hivyo kwa upande mwingine alielewa kwamba Diamond ameyaongea hayo baada ya show.
Diamond alipoongea na U Heard ya XXL Clouds FM July 12 2013 akasema amekuta missedcalls za Management ya Prezzo na baadae Management hiyo ilitaka wayamalize lakini yeye akasema kama Prezzo ndio alianzisha huu mvutano kupitia Twitter inapaswa kwenda kuumalizia hukohuko kwanza.
Baada ya Diamond kuzungumza hivyo, muda mfupi baadae CMB Prezzo aliandikwa hii tweet hapa chini…
Prezzo July 12 2013 on Beef on ama vpKama ulimis, July 10 2013 Prezzo aliandika kwenye page yake ya twitter na kuonyesha kukasirishwa na alichosema Diamond kuhusu yeye kwenye gazeti na kuambatanisha hiyo tweet na picha.
Prezzo on Diamond Platnums July 10 2013 Prezzo on Diamond Platnums July 10 2013 gazeti lenyewe

Friday, July 12, 2013

0

NADHANI KWA HAYA MAJIBU PREZZO ATAKUA KAJIFUNZA TOKA KWA MASHABIKI WA DIAMOND PLATINUMZ

Posted in ,



Msanii Prezzo wa Kenya atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10.


Sample ya majibu hayo inaweza kuonekana kupitia comments zote za fans kwenye habari iliyowekwa na mtandao wa ghafla wa nchini Kenya, ambapo asilimia 99 wameonesha kutokubaliana na alichokifanya.

Edwin Mwashegwa : ah, Diamond achana na huyu mbulula, wewe unda hela!, bifu hazifai.


Top Commenter: Prezzo umepita hiyo age ya beef za kishenzi. Ingia studio utoe kitu, otherwise kwa musiki diamond ako juu. I feel you bro! anything to remain relevant and grab some headlines.

Bellah Ongachi : aaarggh Diamond is waaayy better.. n am sure by the time he hits the years prezzo has stayed in the entertainment scene he'll be miles ahead..so your thing diamond.

Caroline Karijo : Mhhhhh who even listens to to him Jaguar and Diamond r much better than him n we all knw,,,,,,, he can continue playing women who stoops low for him.

Yvonne De Cole : Prezzo ni wivu nini,,,, leave the highest paid musician in East Africa alone,,, ana mulla en he is still simple doesn floss,,,, prezzo inherits yet flosses

De Sheriff : Diamond, silence is the best weapon. let the baby throw tantrums. Prezzo, its tym to mature up.

‪#‎Diamond‬ hadi sasa bado hajazungumza chochote.

**HIZI NDO TWEETS ZA PREZOO ZILIZOZUA ZOGO

1. Hahahaha ‪#‎DomoSeriously‬????
2. U talkin money or u talkin nonsense au anashindana na ndovu kunya?
3. Unfortunately only "diamonds" I know is the ones on ma neck fam

0

PREZZO AMPONDA DIAMOND PLATNUMZ KUPITIA TWITTER

Posted in ,


Majigambo ya Diamond kwenye vyombo vya habari kabla ya Tamasha la Matumaini kufanyika kuhusu kumgalagaza Prezzo kwenye show hiyo hayajampendeza Rapcellency na sasa ameamua kujibu.

Prezzo ambaye jina lake halisi ni Jackson Makini alianza kwa kuweka picha ya gazeti inayowaonesha akiwa na Diamond kwenye habari iliyohusu tamasha hilo na kuandika ‘Hahahaha #DomoSeriously????



Rapper huyo hakuishia hapo aliweka picha nyingine ya Diamond na kuandika: “U talkin money or u talkin nonsense au anashindana na ndovu kun***a?

Monday, July 8, 2013

0

KUTOKA INSTAGRAM: ONA JINSI DIVA ANAVYOSIFIA PENZI LA PREZZO

Posted in ,
Muda mfupi uliopita mtangazaji wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM Diva Loveness Love ambaye sasa anatumia “divathebawse” katika akaunti yake ya Instagram, ameweka picha mpya akiwa na Rapcellency Jackson makini aka Prezzo kutoka Kenya waliyopiga jana (July 7).




Picha hiyo ambayo inawaonesha wawili hao wakiwa “0 distance” ilikuwa na caption inayosomeka hivi, 

“Nothing Than Happiness… Prez is such a Nice guy. Hata Akiniudhi Sihesabu makosa yake. May you Live Long Pleaseeee……… Good hearted, My hero, My Mentor… A Person I can count to when I need to be happy… No one is Perfect yes but I love his flaws and All…. Bless you always’ . I Pray you live Long… I Pray for you Always”


Picha nyingine iliwaonesha Prezzo na Diva wakikumbatiana na kusindikizwa na caption “Last Night at escape1… I was nothing than happy. With Prezzo”. 


Prezzo alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza jana (July 7) katika show ya Matumaini iliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more: http://talkbongo.blogspot.com/2013/07/prezzo-ni-mtundu-sana-tukiwa.html#ixzz2YTzBnAm3

Monday, July 1, 2013

0

AUDIO: DIVA LOVENESS FT. STEREO & PREZZO - JICHO LA HUBA

Posted in , ,

Kipindi fulani nyuma tuliwaletea habari kuwa mtangazaji wa kituo kimoja cha radio hapa TZ, Diva Loveness Love anatarajia kuachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la “Jicho La Huba”.

Ndani ya JICHO LA HUBA, Diva “The Bawse” amemshirikisha rapper kutoka katika label inayosimamia wanamuziki ya Unity Entertainment, Stereo pamoja na Prezzo, Rapcellency kutoka Kenya.


Saturday, May 11, 2013

0

ONA JINSI DIVA LOVENESS ALIVYOM'BWAGA BWANA AKE NA KUANGUKIA KWA PREZZO | ANGALIA MATUSI ALIYOTUKANWA INSTAGRAM

Posted in , ,
Hii Ni Post aliyoweka mtangazaji wa Clouds FM, Diva Loveness Love akiongelea penzi lake na Msanii tajiri toka Kenya, PREZZO.
Katika Tovuti ya BigBrother Africa Wameandika Kichwa cha habari: Prezzo Moves On,Now Dating Radio Presenter Diva Loveness Love.
Wakaongeza: 
All this must be a thing of the past for Prezzo seeing that on several occasions he has been spotted with cloud FM’s  Radio presenter famously known as Loveness love.
Asked about if there is anything between him and the Kenyan diva;Prezzo who didn’t exactly deny the rumor simply commended her as;”very beautiful and classy…someone you would fall in love with at first sight”
As it is moving on from the past is always a good thing…we wish them the best!

KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM AMBAO HIVI SASA UMEKUA NA MUAMKO, WENGI WAMEMTUKANA NA WENGINE KUMPONGEZA. Ona Hii Screenshot...





0

BIFU LA PESA LA JAGUAR NA PREZZO LAENDELEA

Posted in ,


Mapema leo, msanii kutoka KENYA, JAGUAR ameonekana kumdiss msanii mwenzie kutoka nchini humo, AMB PREZZO kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter ...
JAGUAR alifanya hivyo kwa kutupia picha iliyokuwa na BUS lilioandikwa jina la PREZZO na kuweka CAPTION ya LIKE !!!!
Check picha hiyo hapa chini :

Saturday, May 4, 2013

0

PREZZO NA PENZI LA WEMA SEPETU

Posted in ,

BAADA ya uvumi kwamba msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kenya Prezzo amezama kwenye mahaba mazito na msanii wa filamu nchini Tanzania Wema Sepetu, Msanii huyo ameshikwa na kigugumizi na kushindwa kukanusha tuhuma hizo.
Prezo ambaye alifiwa na mchumba wake ambaye pia alikuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Nigeria marehemu Goldie Harvey, aliyefariki dunia February mwaka huu, juzi alishindwa kudhibitisha tuhuma hizo baada ya kuulizwa swali na kushindwa kulijibu.
Prezo ambaye yuko nchini kwa ziara ya muziki alionekana katika picha za mahaba akiwa na Wema Sepetu, hata hivyo Wema aliwahi kukanusha picha hizo na kudai kwamba walipiga wakati walipokuwa wakirekodi filamu mpya ya Wema na kwamba hana mahusiano yoyote ya mapenzi na msanii huyo.
Akiwa katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha mapenzi kilichorushwa usiku na Redio Clouds FM Prezo alishikwa na kwi kwi cha gafla baada ya kutakiwa kudhibitisha juu ya uvumi kwamba amenasa kwenye mahaba mazito na mrembo huyo mwenye skendo za kubadilisha wanaume kila kukicha.

Thursday, April 4, 2013

0

PREZZO KATUA DAR TAYARI KWA SHOW YA KESHO

Posted in


Msanii maarufu wa muziki kutoka nchini Kenya, Prezzo amewasili jijini Dar Es Salaam, Tanzania few minutes ago ready for the show ...
The Kenyan rapper who also participated at the Big Brother Africa - STAR GAME will be preforming LIVE at the NEW MAISHA CLUB kesho has touched down at the JKNIA ...

Tuesday, March 26, 2013

0

PREZZO KUFANYA SHOW DAR HIVI KARIBUNI

Posted in , ,


Ule wakati uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kwa rapper kutoka Kenya maarufu kama Amb Prezzo kuja kupiga show ndani ya jiji la Dar Es Salaam sasa umewadia.
Prezzo anatarajia kupiga show moja katika ukumbi disco wa New Maisha Club, Oysterbay jijini Dar.
Katika show hiyo Prezzo atasindikizwa na baadhi ya wasanii kutoka Bongo kama kundi la Shosteez, Stereo, AY, MwanaFA na wengine wengi. Show hii inatarajia kufanyika tarehe 5 April mwaka huu.

Thursday, March 14, 2013

0

PREZZO AMUENZI GOLDIE

Posted in ,


Ikiwa imepita mwezi sasa tangu mwanamuziki kutoka Nigeria marehemu Goldie Harvey alipofariki Dunia, rapper Prezzo amemkumbuka Marehemu Goldie na kumuenzi.
Prezzo aliandika katika mtandao wa twitter "It's been exactly a month since we lost you. Even tho we can't see ur face, we know ur in a better place now & 4ever Empress. #RIP-24K".
Before her death, ilikuwa inasadikika Prezzo na Goldie walikuwa wapenzi na walikuwa na mipango ya kufunga ndoa na hii ilionekana kwa ukaribu wao ambao hata baada ya kifo chake unaendelea kuonekana kwa rapper huyu from Kenya.
RIP Goldie Harvey !!!

Sunday, November 25, 2012

0

HIZI NDO NYIMBO MBILI MPYA ZA PREZZO ALIZOREKODI NIGERIA "DOWNLOAD HAPA"

Posted in


Inaonesha mapenzi ya Prezzo kwa nchi ya Nigeria yameendelea kukua zaidi kwakuwa licha ya kutoondoka pembeni mwa Goldie, rapper huyo wa Kenya ameamua kununua nyumba nchini humo ambako atapageuza kama makazi yake ya pili.
Na sasa ameachia ngoma mbili kwa mpigo, Naija Girl na Higher ambazo zote zina ladha ya kinaijeria. Cha kufurahisha zaidi kwenye nyimbo hizi mpya ni kuwa utamsikia Prezzo akiimba kwa mara ya kwanza and he sings pretty well by the way.
Naija Girl bila ubishi ni dedication kwa mrembo wake Goldie. Prezzo ameziachia nyimbo hizo kupitia website yake mpya aliyoizindua leo.

DOWNLOAD KWENYE HIZI LINK
http://www.iamprezzo.com/NaijaGirl.mp3

http://www.iamprezzo.com/LiqHer.mp3

Friday, May 4, 2012

0

Prezzo Kuiwakilisha Kenya Big Brother, na Tanzania??

Posted in , ,
Ikiwa yamesalia masaa 72 kabla mlango wa Big Brother Star game 2012 haujafunguliwa siku ya Jumapili jioni, tayari washiriki 7 kutoka katika nchi saba wameshatambulishwa.Washiriki hao wanaongozwa na Rapa Tajiri kutoka Kenya ambaye anasifika kwa mbwembwe nyingi CMB Prezzo.
Kwa mujibu wa taarifa toka kwa ofisi ya waandaaji wa shindano hilo la Big Brother Star game Multi choice Tanzania, washiriki wengine ni pamoja na Lady May (Namibia), Msanii Goldie (Nigeria), Mchekeshaji Pro KDB (Ghana), Mfanyabiashara na Modo Barbz (South Africa), Mwimbaji wa R&B Mampi (Zambia), na mwimbaji Roki kutoka Zambia.
Sasa swali ambalo wadau wengi wanajiuliza je ni Star gani ambaye anaweza akaiwakilisha Tanzania katika mjengo huo kama nafasi hiyo itatokea. Habari chini ya Carpet inadai ni Muke ya Diamond Platnumz Jokate…ila haijadhibitishwa na ofisi hizo bado.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ