Tuesday, November 26, 2013

0

WEMA SEPETU AMCHUKULIA HATUA KALI MUONGOZAJI WAKE

Posted in ,
Baada ya kasha nzito kusambaa kwenye magazeti kwamba magari ya Wema Sepetu kutumiwa na wafanyakazi wake kufanyia ngono, Wema Sepetu amemtimua director wake ambaye anaonekana kwenye picha.


Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake.

Kwa mujibu wa tovuti ya bongoclantz ya kupata taarifa hizo Wema aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo kung’olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ