ONA JINSI JOKATE ALIVYOMMWAGIA MAHELA WEMA SEPETU HUKU WAKICHEZA NGOLOLO HUKO ARUSHA
Posted in Aunt Ezekiel, Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Kajala, Wema Sepetu
Hii ilikuwa usiku wa jana tarehe 1 pale
Triple A Club iliyopo pande za Arusha, ilikuwa ni show ya Ma divas
ambapo walikuwepo kama Wema Sepetu, Kajala, Aunt Ezekiel pamoja na
Jokate ambaye hakuwepo kwenye banners. Mara wakazi wa Arusha ndipo
walipoanza kupiga shangwe pale Jokate alipoanza kumwagia mijihela
mwanadada Wema stejini huku DJ akiwapigia wimbo wa Diamond unaoitwa My
Number One.
0 Maoni/comments: