Next
Previous
Showing posts with label Martin Kadinda. Show all posts

Thursday, July 11, 2013

0

PICHA: MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU

Posted in , ,
Picture
Mmiliki wa Endless Fame Production akiwa na Meneja wake Martin Kadinda

Monday, May 20, 2013

0

HILI NDILO DILI LA MAMILIONI ALILOLIPATA WEMA SEPETU

Posted in ,
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.
72b3721cc13c11e29bea22000a1f90d2_7
Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
1e5afc9ec13c11e2987d22000aaa0a97_7
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.

Wednesday, May 1, 2013

0

HII NDIYO #TEAM_ENDLESS FAME YA WEMA SEPETU

Posted in ,

 

Hiki ndio kikosi ambacho wema anakiamini sana kwa sasa,katika kila kitu katika maisha yake hawa ndugu rafiki na hata wafanyakazi wake anaamini ipo siku maisha yake na yawafanyakazi wake yatakuwa sawa kimaendeleo. alilisema hilo kutokana na mshahara mzuri na mikataba mizuri aliyowapa wafanyakazi wake ambayo haiwabani hata kidogo.

Tuesday, February 12, 2013

0

PICHA: LADY IN RED........red carpet

Posted in , , , ,


Lady In Red ni shindano ambalo hufanyika kwa mwaka mara moja na kuhusisha wanamitindo kutoka pande mbalimbali za Africa na dunia kwa ujumla.
Hizi ni baadhi ya picha za watu waliohudhuria katika tamasha hilo ambalo lilifanyika Serena Hotel Jijini Dar...

For more photos and fashion news, visit >>> http://t.co/tiw1Q1FJ
Source: MissiePopular Blog

Sunday, December 30, 2012

0

WALIOVUMA NA KUCHIPUKIA KATIKA FASHION MWAKA 2012

Posted in , , , ,

Katika Mwaka 2012 ambao Ndiyo tunaumaliza, Yamejiri mengi hasa ukizingatia katika fashion. Wengi wamejitokeza, na staili nyingi za kimavazi zilichipuka. Ntakayoyataja hapa chini ni Baadhi ya hayo:

1. Kuchipukia Kwa Martin Kadinda na "SINGLE BUTTON"
Martin Kadinda, Ambaye ametokea katika office za studio maarufu jijini I-View, alikuja na style ya suti za Single Button na kushika sana kasi, kwa kuvaliwa katika Tafrija mbalimbali, huku zikipata jina zaidi kwa kuvaliwa na wasanii kama DIAMOND, OMMY DIMPOZ na wengineo. Hii Ni Hatua Kubwa Saana Kwa Kijana Huyu ambaye pia alizindua ngua aina ya "VIBUNDUKI SHORTS.









2. Jokate Mwegelo Aja na KIDOTI
Huu Ulikua ni mwaka wake mdada huyu mwenye vipaji lukuki, Akiwa ni VJ wa MNET/Channel O Africa. Mwaka Huu alizindua Label yake ya mitindo maarufu kama KIDOTI. Licha ya kua na kashfa za kujihusisha kimapenzi na msanii Diamond Platinumz, Yeye aliendelea na Kusonga mbele. KIDOTI ni chapa inayosimamia ubunifu wa Mavazi na Nywele kwa ajili ya kina dadana wanaMama.

Sunday, July 15, 2012

0

Mwanamitindo wa Wiki

Posted in
#Mwanamitindo wa Wiki
Kwetu sisi mwanamitindo wetu wa wiki ni MARTIN KADINDA ambaye amekuwa involved katika kuwavisha wasanii mbalimbali katika video zao, Kama ya NIDANGANYE, na nyinginezo, Umaarufu wake unaendelea kuja juu kutokana na Suti zake za Single Button



































Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ