Next
Previous

Monday, February 3, 2014

0

VIDEO MPYA: YUZZO - Watengwa NO FEAR, NO STOP Official Music Video

Posted in ,

Sunday, February 2, 2014

0

HIZI NI BAADHI YA NYIMBO ZILIZOTOKA TAREHE 31.JAN NA 1 FEB. || PAKUA NA SIKILIZA HAPA

Posted in , ,



0

ONA JINSI JOKATE ALIVYOMMWAGIA MAHELA WEMA SEPETU HUKU WAKICHEZA NGOLOLO HUKO ARUSHA

Posted in , , , ,
Hii ilikuwa usiku wa jana tarehe 1 pale Triple A Club iliyopo pande za Arusha, ilikuwa ni show ya Ma divas ambapo walikuwepo kama Wema Sepetu, Kajala, Aunt Ezekiel pamoja na Jokate ambaye hakuwepo kwenye banners. Mara wakazi wa Arusha ndipo walipoanza kupiga shangwe pale Jokate alipoanza kumwagia mijihela mwanadada Wema stejini huku DJ akiwapigia wimbo wa Diamond unaoitwa My Number One.
0

THE GLADIATORS(AY NA MWANA FA) KUFANYA SHOW YA PAMOJA NA SOULJA BOY PAMOJA NA SEAN KINGSTON

Posted in , , ,
show USA
Kama mipango ikienda sawa, kuna uwezekano The Gladiators (Mwana FA na AY) wakapanda steji moja na Sean Kingston na Soulja Boy kwenye show itakayofanyika April 5, jijini Lancaster, California nchini Marekani.
Promoter wa kimataifa, Hemdee Kiwanuka, aliyeandaa show hiyo, amewauliza AY na Mwana FA kama wanaweza kuwepo kwenye show hiyo, nao wakajibu kuwa inawezekana.
Hemdee ametweet: @AyTanzania On April 5th We’re doing @SeanKingston & @souljaboy @uavpec in Lancaster, Ca Can U & @MwanaFA make the show? It’s gonna be crazy!
AY alijibu: Yeah we can make it happen” huku FA akijibu: ofcoz,yeah
Na mwisho Hemdee alimalizia kwa kujibu: I am going to start making arrangements. ON APRIL 5TH… WE’RE GOING TO SHOW THEM HOW WE DO THIS SON…
SOURCE: http://www.binamu13.com/
0

PAKUA NA SIKILIZA NYIMBO MPYA TOKA KWA BOU NAKO FT. J' DEAL - NIMEJIFUNZA

Posted in ,
BouNakoJdeal_Nimejifunza500
BouNako katika kujiandaa kudrop Album yake hivi karibuni anakupa single “Nimejifunza” ikiwa ni ngoma toka Noizmekah chini ya Defxtro, amemshirikisha J Deal katika chorus, kuDownload/Kuisikiliza Bofya HAPA na kwa maelezo/Mahojiano zaidi check na BouNako kwa Namba +255 718 396 869 na J Deal kwa +255 718 515 772 powered by www.vmgafrica.com
–BouNako ft J Deal-Nimejifunza (NOIZ) http://goo.gl/fnz0CY
0

MKALI WA HIP HOP D.KNOB KURUDI HIVI AKISINDIKIZWA NA MWANADADA MWASITI

Posted in ,


Mkali wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina D’Knob ameamua kuuvunja ukimya wa muda mrefu na kuamua kurudi tena kwenye game mwaka huu 2014. D’Knob anatarajia kutoa wimbo wake mpya tarehe 4 mwezi huu wa pili akiwa amemshirikisha msanii wa kike anayejulikana kwa jina moja tu MWASITI. Nishike Mkono ndio jina la wimbo huo mpya anaoutoa ukiwa umesimamiwa vizuri kabisa na Producer VILLY
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ