Sunday, February 2, 2014

0

MKALI WA HIP HOP D.KNOB KURUDI HIVI AKISINDIKIZWA NA MWANADADA MWASITI

Posted in ,


Mkali wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina D’Knob ameamua kuuvunja ukimya wa muda mrefu na kuamua kurudi tena kwenye game mwaka huu 2014. D’Knob anatarajia kutoa wimbo wake mpya tarehe 4 mwezi huu wa pili akiwa amemshirikisha msanii wa kike anayejulikana kwa jina moja tu MWASITI. Nishike Mkono ndio jina la wimbo huo mpya anaoutoa ukiwa umesimamiwa vizuri kabisa na Producer VILLY

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ