THE GLADIATORS(AY NA MWANA FA) KUFANYA SHOW YA PAMOJA NA SOULJA BOY PAMOJA NA SEAN KINGSTON
Posted in A.Y, Mwana FA, Sean Kingston, Soulja Boy
Kama mipango ikienda sawa, kuna uwezekano
The Gladiators (Mwana FA na AY) wakapanda steji moja na Sean Kingston
na Soulja Boy kwenye show itakayofanyika April 5, jijini Lancaster,
California nchini Marekani.
Promoter wa kimataifa, Hemdee Kiwanuka,
aliyeandaa show hiyo, amewauliza AY na Mwana FA kama wanaweza kuwepo
kwenye show hiyo, nao wakajibu kuwa inawezekana.
Hemdee ametweet: @AyTanzania On April
5th We’re doing @SeanKingston & @souljaboy @uavpec in Lancaster, Ca
Can U & @MwanaFA make the show? It’s gonna be crazy!
AY alijibu: Yeah we can make it happen” huku FA akijibu: ofcoz,yeah
Na mwisho Hemdee alimalizia kwa kujibu: I am going to start making arrangements. ON APRIL 5TH… WE’RE GOING TO SHOW THEM HOW WE DO THIS SON…
SOURCE: http://www.binamu13.com/
0 Maoni/comments: