Next
Previous
Showing posts with label Mwana FA. Show all posts

Sunday, February 2, 2014

0

THE GLADIATORS(AY NA MWANA FA) KUFANYA SHOW YA PAMOJA NA SOULJA BOY PAMOJA NA SEAN KINGSTON

Posted in , , ,
show USA
Kama mipango ikienda sawa, kuna uwezekano The Gladiators (Mwana FA na AY) wakapanda steji moja na Sean Kingston na Soulja Boy kwenye show itakayofanyika April 5, jijini Lancaster, California nchini Marekani.
Promoter wa kimataifa, Hemdee Kiwanuka, aliyeandaa show hiyo, amewauliza AY na Mwana FA kama wanaweza kuwepo kwenye show hiyo, nao wakajibu kuwa inawezekana.
Hemdee ametweet: @AyTanzania On April 5th We’re doing @SeanKingston & @souljaboy @uavpec in Lancaster, Ca Can U & @MwanaFA make the show? It’s gonna be crazy!
AY alijibu: Yeah we can make it happen” huku FA akijibu: ofcoz,yeah
Na mwisho Hemdee alimalizia kwa kujibu: I am going to start making arrangements. ON APRIL 5TH… WE’RE GOING TO SHOW THEM HOW WE DO THIS SON…
SOURCE: http://www.binamu13.com/

Tuesday, December 24, 2013

0

CHRISTMASS SPECIAL: DOWNLOAD BURE NYIMBO MPYA NA KALI ZA BONGO ZILIZOTOKA MWEZI HUU

Posted in , , , ,

Monday, September 16, 2013

0

A.Y & MWANA FA ~ BILA KUKUNJA GOTI (PERFOMANCE VIDEO HD BILICANAS)

Posted in ,

Wednesday, September 11, 2013

0

BILA KUKUNJA GOTI, KUZINDULIWA IJUMAA

Posted in , ,

Thursday, August 15, 2013

0

NEW MUSIC VIDEO: MWANA FA F/. KILIMANJARO BAND, MANDOJA NA DOMOKAYA

Posted in , ,

Wednesday, August 14, 2013

0

BILA KUKUNJA GOTI: PICHA ZA BEHIND THE SCENE

Posted in , ,
aymwanajmartins
aymwanajmartins3
Video ya bila kukunja goti ipo karibu kumalizika na itakuwa hewani siku za karibuni. Video inatengenezwa pande za South Africa na ma director wakali humo South Africa

Sunday, August 11, 2013

0

UPUMBAVU WA WATU WACHACHE UMETUFANYA TUPOTEZE UAMINIFU NCHINI SOUTH AFRICA: ASEMA AY BAADA YA KUKAGULIWA MDA MREFU AKIWA NA FA

Posted in , ,
ay33Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show. Unaambiwa jamaa walipekuliwa kupita kiasi cha kawaida. Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mambo yaliyowakuta huko bondeni.

Hizi ni baadhi ya caption za Mwana F.A na watu wengine baada ya tukio hili kutoke.
fa
ay4
ay2
ay

Friday, August 2, 2013

0

ONA JINSI FLAVIANA MATATA ALIVYOKUWA AKICHEZA STYLE YA "CHEZA BILA KUKUNJA GOTI"

Posted in , ,
Flaviana Matata ni mmoja kati ya marafiki wakubwa wa Mwana FA na AY na video hii inamuonyesha akiwa na Model mwenzake kutoka Sudan Ajak wakicheza style ya "Bila kukunja goti" ikiwa ni style inayotarajiwa kuwepo katika video ya wimbo wa AY, FA na Jay Martin (Nigeria) "Bila kukunja goti".

Saturday, July 20, 2013

0

KULA SHAVU KWA KUONEKANA KWENYE VIDEO YA "CHEZA BILA KUKUNJA GOTI" (TUMA VIDEO YAKO SASA)

Posted in , ,
MwanaFA na AY bado wanaendelea kupokea video za mashabiki wakicheza bila kukunja goti. Wasanii hao ambao wameachia ngoma yao mpya yenye jina hilo, ‘Bila Kukunja Goti’ wanahitaji mashabiki watume video zao kwenda kwenye email bilakukunjagoti@gmail.com na kisha watachagua waliocheza vizuri watakaopata shavu la kuonekana kwenye video ya wimbo huo.



Tuma video yako sasa, bilakukunjagoti@gmail.com.

Wednesday, June 26, 2013

0

NYIMBO MPYA AMBAYO A.Y NA FA WAMEFANYA NA J.MARTINS HII HAPA

Posted in , ,


Ni ngoma mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka kwa MwanaFA pamoja na AY wakiwa wamemshirikisha msanii kutoka Nigeria maarufu kama J Martins, ngoma inaitwa “BILA KUKUNJA GOTI”.

Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Marco Chali kutoka MJ Records.

Tuesday, June 25, 2013

0

TAARIFA JUU YA WIMBO MPYA: AY, MWANA FA FT. J.MARTINS - BILA KUKUNJA GOTI

Posted in , ,
Taarifa juu ya wimbo huo, ni kwamba utatoka hapo kesho, kaa Tayari kuupokea hapa katika Blog hii,

Sunday, June 23, 2013

0

ONA JINSI MWANA-FA ALIVYOLAZIMISHWA KUTAJA JINA LA "JAY DEE" KATIKA SHOO

Posted in ,
Mwanamuziki Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA, amepata wakati mgumu kwa kulazimishwa na mashabiki kutaja jina la Lady Jay Dee, baada ya kuliruka jina hilo alipokuwa akiimba wimbo wa Mabinti ambao ndani yake kuna jina la Jay Dee.
Tofauti na ilivyozooeleka katika wimbo wa Mabinti, kwa mara ya kwanza Mwana FA aliruka jina la mwanamuziki Lady Jay Dee ‘Anaconda’, hali iliyowafanya mashabiki wamtake arudie tena na kutenda haki.
Mwana FA alisita kwa muda na baadaye aliamua kurudia wimbo huo na alipofika katika kipengele cha kumtaja Jide aliimba kwa kumtaja, hali iliyoufanya ukumbi huo ulipuke kwa shangwe na mashabiki kumtaka arudie tena na tena.
"  Kutokana na hilo FA aliamua kufunguka; “Tunaishi na watu hivyo lazima mtagongana, hata mapacha wanakosana na kusameheana, lakini wakati mwingine shida inawafanya mnapatana,” alisema Mwana FA.   "

Kutokana na hilo FA aliamua kufunguka; “Tunaishi na watu hivyo lazima mtagongana, hata mapacha wanakosana na kusameheana, lakini wakati mwingine shida inawafanya mnapatana,” alisema Mwana FA.
Awali shoo ilitangazwa kuwa ingekuwa ya watu 400 tu. Lakini mpaka inafika saa nne kasoro usiku, muda uliotangazwa kuanzwa kwa shoo hiyo watu waliokuwa wamefika walikuwa kama 250 tu.

Saturday, June 15, 2013

0

VIDEOS: MWANA FA NA SHOW YAKE YA THE FINEST

Posted in

Saturday, June 8, 2013

0

15% YA MAPATO YA SHOW YA MWANA-FA "THE FINEST" KUPELEKWA KWA MAMA NGWEA

Posted in ,
Baada ya show ya Mwana FA "The Finest" Kuahirishwa wiki iliyopita kutokana na msiba wa Rapper Abert Mangwea, aliyefariki jumanne ya tarehe 28 May na kuzikwa siku ya jana Morogoro,

Kama Zamani The Finest,Imetangazwa tena, na safari hii asilimia 15 ya mapato kutoka katika show hiyo, yatapelekwa kwa mama mzazi wa Ngwea.

"nimesema kwamba nitoe hela mfukoni kwangu moja kwa moja, niipeleke huku, kwahiyo chochote nitakacho kipata, nataka kutoa 15 percent nimpelekee bi mkubwa...."amesema Fa

"unajua kitu kama cha kumuita ngwea marehem, bado kilikuwa hakija click kichwani kwangu, hakiji, yaani watu wakimuitwa mangwea marehem naona aaaah, hawa jamaa wanasema vitu gani, bado inanisumbua "

" Nafkiri Pengine sikufanya vyakutosha wakati yuko hai, lakini bado naweza kufanya kitu kama anaona huko aliko naomba awe na moyo mwepesi na mimi, nimeona ntamuandali hiki ambacho nakipata sasa hivi, nimuangalie mama yake, kama ambavyo pengine yeye angefanya kama ingekua album yakwake.amesema mwana FA.

Saturday, May 25, 2013

0

LADY JAY DEE AMSHANGAA MWANA FA KWA ALICHOKIFANYA: SOMA ALIICHOKISEMA

Posted in , ,
Kutokana na JIDE kuwa na show yake kubwa mnamo tarehe 31 mwezi huu pale nyumbani lounge ,Sasa rafikiye wa karibu sana MwanaFA inaonyesha naye ameanda show yake siku hiyohiyo  ya Tarehe 31,Zaidi ya yote mwana FA akawachukua  wasanii walio jitoa katika show ya JIDE kama Linnah  sa kutokana na sitofahamu hiyo mtandao huu wa thechoicetz uliweza kumtafuta JIDE kupitia twitter na kumuu liza juu ya hili swala naye aliweza kutoa yake anayo yafikiria,pia mtandao huu wa thechoicetz ulimtafuta  MwanaFA lakini mwanaFA hakuweza kutujibu swali tulilo muuliza hadi muda huu


Hivi ndivyo jide ALIVYO TUJIBU

Wednesday, May 15, 2013

0

VIDEO | MWANA FA AKIZUNGUMZIA ZAIDI KUHUSIANA NA NYIMBO YAKE "KAMA ZAMANI"

Posted in , ,
0

LISTEN TO | MWANA FA FT. KILIMANJARO BAND, MANDOJO NA DOMOKAYA - KAMA ZAMANI

Posted in , ,


Ni ngoma mpya kutoka kwa rapper MwanaFA inayokwenda kwa jina la "KAMA ZAMANI" ...
KAMA ZAMANI imetengenezwa ndani ya studio za BONGO RECORDZ chini ya ushirikiano wa Producer P-Funk Majani pamoja na Kilimanjaro Band "Wananjenje" ...
Ndani ya DEBUT hii MwanaFA amewashirikisha wasanii wakongwe kabisa katika muziki, bendi ya Kilimanjaro Band ambayo inaundwa na Mzee Waziri, Mafumu Bilali na wengineo + wasanii wa kizazi kipya wa muda mrefu Mandojo na Domokaya.

Friday, June 8, 2012

1

Download new Track '' AMEN '' By mWana FA ft. Dully and A.Y

Posted in , ,
Brand New Track by MwanaFA ft Dully Sykes & AY - "Ameen" hii hapa..#KeepingTheGoodMusicAlive..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ