Jul
2013
01
AUDIO: DIVA LOVENESS FT. STEREO & PREZZO - JICHO LA HUBA
Posted in Diva Loveness Love, Prezzo, StereoKipindi fulani nyuma tuliwaletea habari kuwa mtangazaji wa kituo kimoja cha radio hapa TZ, Diva Loveness Love anatarajia kuachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la “Jicho La Huba”.
Ndani ya JICHO LA HUBA, Diva “The Bawse” amemshirikisha rapper kutoka katika label inayosimamia wanamuziki ya Unity Entertainment, Stereo pamoja na Prezzo, Rapcellency kutoka Kenya.
0 Maoni/comments: