Thursday, March 14, 2013

0

PREZZO AMUENZI GOLDIE

Posted in ,


Ikiwa imepita mwezi sasa tangu mwanamuziki kutoka Nigeria marehemu Goldie Harvey alipofariki Dunia, rapper Prezzo amemkumbuka Marehemu Goldie na kumuenzi.
Prezzo aliandika katika mtandao wa twitter "It's been exactly a month since we lost you. Even tho we can't see ur face, we know ur in a better place now & 4ever Empress. #RIP-24K".
Before her death, ilikuwa inasadikika Prezzo na Goldie walikuwa wapenzi na walikuwa na mipango ya kufunga ndoa na hii ilionekana kwa ukaribu wao ambao hata baada ya kifo chake unaendelea kuonekana kwa rapper huyu from Kenya.
RIP Goldie Harvey !!!

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ