Next
Previous
Showing posts with label Diva Loveness Love. Show all posts

Monday, July 8, 2013

0

KUTOKA INSTAGRAM: ONA JINSI DIVA ANAVYOSIFIA PENZI LA PREZZO

Posted in ,
Muda mfupi uliopita mtangazaji wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM Diva Loveness Love ambaye sasa anatumia “divathebawse” katika akaunti yake ya Instagram, ameweka picha mpya akiwa na Rapcellency Jackson makini aka Prezzo kutoka Kenya waliyopiga jana (July 7).




Picha hiyo ambayo inawaonesha wawili hao wakiwa “0 distance” ilikuwa na caption inayosomeka hivi, 

“Nothing Than Happiness… Prez is such a Nice guy. Hata Akiniudhi Sihesabu makosa yake. May you Live Long Pleaseeee……… Good hearted, My hero, My Mentor… A Person I can count to when I need to be happy… No one is Perfect yes but I love his flaws and All…. Bless you always’ . I Pray you live Long… I Pray for you Always”


Picha nyingine iliwaonesha Prezzo na Diva wakikumbatiana na kusindikizwa na caption “Last Night at escape1… I was nothing than happy. With Prezzo”. 


Prezzo alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza jana (July 7) katika show ya Matumaini iliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more: http://talkbongo.blogspot.com/2013/07/prezzo-ni-mtundu-sana-tukiwa.html#ixzz2YTzBnAm3

Monday, July 1, 2013

0

AUDIO: DIVA LOVENESS FT. STEREO & PREZZO - JICHO LA HUBA

Posted in , ,

Kipindi fulani nyuma tuliwaletea habari kuwa mtangazaji wa kituo kimoja cha radio hapa TZ, Diva Loveness Love anatarajia kuachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la “Jicho La Huba”.

Ndani ya JICHO LA HUBA, Diva “The Bawse” amemshirikisha rapper kutoka katika label inayosimamia wanamuziki ya Unity Entertainment, Stereo pamoja na Prezzo, Rapcellency kutoka Kenya.


Monday, May 20, 2013

0

HIVI NDIVYO DIVA LOVENESS ALIVYOMKEJELI ZITTO KABWE INSTAGRAM

Posted in ,



 Baada  ya  kutangaza  kumpiga  chini  Mh.Zitto Kabwe, Loveness  Diva  ameamua  kumchokonoa  tena  kwa  kumkejeli  kuhusu  uamuzi  wake  wa kugombea Urais.....

Huu  ni ujumbe wake aliouweka instagram:

 ".Ivi  kwa akili yako unadhani  unastahili  kweli  kuwa Rais mteule wa taifa  hili....??

Sunday, May 12, 2013

0

HIVI NDIVYO JINSI LOVENESS DIVA NA MODEL WA KENYA WALIVYOKUWA WAKIMGOMBANIA PREZZO

Posted in ,
Huddah Monroe
Huddah Monroe




Huddah amemshambulia Diva kuwa anajisifia mno kwenye Twitter kuhusu uhusiano wake na Prezzo. Pia anasema Diva ana sura mbaya.
“But she is still dreaming ,plus she is so ugly.”

“Theres a gal here she can’t stop sayin the way a nigga is her man,she is even waiting for a ring,im on the floor,” ametweet Huddah.

“She says it was love at first sight,but all a nigga wanted was to bust his nut.”
Huddah pia amemdiss Diva na wasichana wengine walio upande wake kuwa wanatweet Kiswahili kwakuwa Kiingereza ni kigumu.

“These bitches tweeting in swahili coz english is so hard.”

“Sio vita,i just found ur obsession so funny,u even broke u up with ur boyfriend,tumecheka tukaketi chini,” ameongeza Huddah.

“Hahaha! She is like i should respect her @Divamimi ,too shady to call herself a diva.”

“Sit ur ass down bitch i just laughed at ur tweet,nw u makin it a big deal.”

Hata hivyo Diva hakukaa kimya, hivi ndivyo alivyojibu.

#TeamPrezzo #Rapcellency#ThePresident. Am 100% Protecting his Territory , ukno how we do it Son. In Jay’z voice #1love
 -Next time finish what u started my Angel, am from Tanzania, I can handle a woman like u, learn to respect those u don’t know.
-That woman crazy , she just started attacking me then »» Ex girlfriend, I dig her, ouch
-Mwenzangu wee lol, she needs to move on, this will never take her nowhere.
-LOL, too Early for her , let her kip on venting , not gon deal wit her ever again, some girls man.

Baada ya vita kuwa nzito, Diva ameomba msaada kwa followers wake wamfunze adabu Huddah kwa kile Diva anachosema amewatukana watanzania.
-“Pliz handle this woman from kenya that been so busy attacking me. Attacking my country as well, mfunzeni #Leggo.”

Huddah amejibu: LMFAO! U are now askin Tanzanians to abuse me? U actually called Tanzaninan men dirty na hata shame huna.

Hizi ni tweets za Diva zilizofuata akidhihirisha anavyompenda Prezzo na kwamba hamtaki tena Huddah.
I love Prezzo and Simuachi Ng’oo , so she better deal with dat. She needs to leave me alone now. Its LOVE!. #bowdown#UheardTheDiva.
A little bit advice for her , you can’t fight love, Esp. love at first Sight. That’s Powerful. I lov Kenya#My2ndhome. So done.
Then you go and tell her to move on. Coz Prezzo don’t want her anymore. That is so easy!
Unaionaje vita ya wasichana hawa wawili amnbayo bado inaendelea kwenye Twitter? Kitu kimoja kikubwa wanachofanana wasichana hawa ni kuwa wote ni maarufu sana kwenye Twitter na wako controversial.

Saturday, May 11, 2013

0

ONA JINSI DIVA LOVENESS ALIVYOM'BWAGA BWANA AKE NA KUANGUKIA KWA PREZZO | ANGALIA MATUSI ALIYOTUKANWA INSTAGRAM

Posted in , ,
Hii Ni Post aliyoweka mtangazaji wa Clouds FM, Diva Loveness Love akiongelea penzi lake na Msanii tajiri toka Kenya, PREZZO.
Katika Tovuti ya BigBrother Africa Wameandika Kichwa cha habari: Prezzo Moves On,Now Dating Radio Presenter Diva Loveness Love.
Wakaongeza: 
All this must be a thing of the past for Prezzo seeing that on several occasions he has been spotted with cloud FM’s  Radio presenter famously known as Loveness love.
Asked about if there is anything between him and the Kenyan diva;Prezzo who didn’t exactly deny the rumor simply commended her as;”very beautiful and classy…someone you would fall in love with at first sight”
As it is moving on from the past is always a good thing…we wish them the best!

KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM AMBAO HIVI SASA UMEKUA NA MUAMKO, WENGI WAMEMTUKANA NA WENGINE KUMPONGEZA. Ona Hii Screenshot...





Wednesday, February 6, 2013

0

DOWNLOAD NEW BONGO MUSIC HAPA

Posted in , , , , , ,



Hizi Ni Nyimbo Zilizotoka hivi karibuni hapa Bongo: Download Bure HAPA>>


 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 Kwa Nyimbo zaidi Ingia hapa>> FREE BONGO MUSIC

Wednesday, June 13, 2012

0

Download Nyimbo Mpya Ya Diva na Soma maelezo juu ya Sauti yake

Posted in ,

Baada ya jana kuachia rasmi wimbo wake ‘Piga Simu’ uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu, mtangazaji/mwimbaji Loveness aka Diva ameeleza sababu za kwanini sauti yake inafanana na Rehema Chalamila aka Ray C kwenye wimbo huo.
Akiongea na kipindi cha XXL, Diva amesema sauti yake ndivyo inavyosikika siku zote aimbapo na ni kwasababu yeye anatokea Tanga ambako wanawake wengi wana sauti hizo (???).
Ameongeza kuwa maneno ya wimbo wa Ray C ‘Uko wapi’ ameyatumia kwasababu mara nyingi huyatamka kwa mpenzi wake ambaye muda mwingi ni mtu wa mishemishe na safari za nje ya nchi.
Akiongea kwa ‘mbwembwe’ na kujiamini kama kawaida yake, Diva amesema ubusy wa mpenzi wake ndio ulimfanya aandike wimbo huo kwakuwa mara nyingi hupenda mpenzi wake ampigie simu ili kumpunguzia upweke wa kuwa mbali naye.
Katika hatua nyingine Diva amemtaja mtunzi msaidizi wa wimbo huo aliomshirikisha Diamond kuwa ni mtangazaji mwenzie wa Clouds FM, Soud Brown aka Gossip Cop.
Aliongeza kuwa wimbo huo waliurekodi usiku kucha na Diamond huku akisema ilikuwa rahisi kwa mzee wa ‘Mawazo’ kumkubalia collabo ya bure kwakuwa yeye ni ‘diva’ na radio personality!!!
Amesema mashabiki wake wategemee wimbo mwingine uitwao ‘Mgonjwa kwa raha zako’ hivi karibuni na kudai kuwa pamoja na kuingia rasmi kwa game la muziki hawezi kuacha utangazaji kwakuwa anakipenda mno kipindi chake.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ