Next
Previous
Showing posts with label Big Brother Africa. Show all posts

Sunday, August 25, 2013

0

MNAMIBIA DILLISH ASHINDA KATKA MSIMU WA 8 WA BIG BROTHER(THE CHASE)

Posted in , , ,
Mshiriki kutoka Naibia "Dillish" ndio mshindi wa Big Brother Africa (the chase) alieondoka na dola 300,000 katika fainali zilizofanyika usiku huu (August 25th).
Dillish mwenye miaka 24, hajawahi kuwa head of the house hata siku moja katika siku zote 91 alizokuwa ndani ya jumba, alishawahi kuwa nominated mara 5 na mara zote alibaki kwa kura za Africa, na hajawahi kuwa na mahusiano na mshiriki yoyote.



Dillish amekuwa ni mwanamke wa pili kushinda BBA tangu ilivyoanzishwa, baada ya Cherise kutoka Zambia kushinda kwenye BBA season  7 zilizopita

katka top 5 waliobaki, alianza kutoka Beverly (Nigeria), akafatia Melvin (Nigeria) na watatu kutoka ni Elikem (Ghana) wa nne ni Cleo (Zambia) na hatimae Dillish kuwa mshindi wa BBA The Chase 2013



Elikem(24)  alipigiwa kura nyingi za kuwa "the most romantic chasemate" ambae amepata trip ya ku-spend siku tano katika hotel kali iliyoko Mombasa, Kenya, kila kitu kikiwa kime coast dola 10,000 pamoja na pesa za kutumia wakati wote akiwa huko.

kwa kuwa anatakiwa aende na mtu mwingine mmoja, Elikem amemchagua mpenzi wake Pokelo (Zimbabwe) ambae amethibitisha kuachana na boyfriend wake kwasababu ya elikem.

Sunday, July 28, 2013

0

KUTOKA BBA THE CHASE: NANDO AYAAGA MASHINDANO

Posted in , ,
Tanzania's Nando has been disqualified from the Big Brother House.

After tonight's Evictions that saw Annabel and Sulu being given the boot, Big Brother then gathered all of the Housemates in the living room.
Mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa toka Tanzania, Nando amefutwa (disqualified) katika shindano kufuatia kwenda kinyume na sheria za shindano!
Breaking News: Nando Disqualified-Elikem gets a Strike Today Big Brother reproached Nando for the fight that he had with Elikem on Friday. The heated face-off with Elikem saw the two fellas exchanging fiery words between them. Nando is the one that instigated the fight. Instigation and provocation is a violation of the Big Brother rules.

"Any Housemate who become physically violent will be removed from the House immediately. Violence can refer to self-inflicted violence, or violence towards another. Violence includes provocation, goading, bullying and victimisation," said Biggie.

This season Big Brother has imposed a Three Strike Rulu, which will be applicable to Housemates who commit serious infringements. For this fight Nando received his second Strike and Elikem was has served with his first Strike. Afterwards the Tanzanian was called into the Diary Room. He was given his third Strike for making threats against Elikem's life, saying: "I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to die".

And he was also caught sleeping with scissors under his bed and this is not the first time that he has been caught with a weapon in the House. The troubled young fellow has had a dramatic nine weeks in The Chase. Last month he was served with a a Strike and a stern warning from Big Brother after he was found carrying a knife to the Channel O Party. The possession of weapons or intention to be violent in the House another violation of the Big Brother rules.

Tuesday, July 23, 2013

0

VIDEO: FEZA KESSY ALIPOIONA VIDEO YAKE YA AMANI YA MOYO KWA MARA YA KWANZA

Posted in , , ,

Sunday, July 21, 2013

0

NISHER AFURAHIA KUONA VIDEO ALIYOFANYA KUONYESHWA BIG BROTHER (FEZA KESSY-AMANI YA MOYO)

Posted in , , , ,



I Thank God For Every Step..... "Amani ya Moyo" by Feza Kessy Directed by Nisher, was Aired LIVE on BIG BROTHER AFRICA.....!! thats another HUGE step for me... i never thought i'd come this far.... Love you Feza Kessy, i'm happy for you... Keep Winning!! -NISHER BYBEE 

Monday, July 8, 2013

0

VIDEO: ONA JINSI WAKAZI ALIVYOTIKISA JUMBA LA BIG BROTHER HAPO JANA

Posted in , ,

Wednesday, May 29, 2013

0

FEZA KESSY NA SAKATA LA NGONO KATIKA BIG BROTHER

Posted in , ,
LILE Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’ limeanza Jumapili iliyopita ambapo Tanzania inawakilishwa na mrembo ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Feza Kessy na modo wa kiume nchini, Ammy Nando ambapo watu wamemuonya mrembo huyo juu ya mambo ya ngono.


Mara baada ya kutajwa kwa jina la Feza ndipo watu wakaanza kudondosha maoni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii juu ya uwakilishi wake mjengoni humo.
Wadau hao walimuomba chondechonde asiwaaibishe kama akina Bhoke Egina ambao walihusishwa na mambo ya ngono huku wakirekodiwa na video zao kusambaa mitandaoni hadi leo.
“Chondechonde Feza usituchafulie sifa nzuri ya maadili yetu,…

Tuesday, May 14, 2013

0

BIG BROTHER YARUDI TENA: MSIMU MPYA KUANZA HIVI KARIBUNI

Posted in ,


The Biggest Reality Show In Africa ijulikanayo kama Big Brother Africa, inakaribia kuanza tena hivi karibuni kupitia televisheni yako ...
Huu utakuwa ni msimu wa NANE tangu kuanzishwa kwa show hii ambapo this time around wameipa jina la ''Big Brother Africa'' [The Chase] , wakati mwaka jana iliitwa Big Brother Africa [Star Game] ...
Reality Show hii inatarajiwa kuanza mapema Jumapili ya wiki ijayo ambayo itakuwa ni tarehe 26 May mwaka huu, ambapo zawadi iliyopangwa kwa mshindi wa shindano hilo ni kiasi cha dola za kimarekani $3000.000 ...
Mpaka sasa bado haijajulikana ni mshiriki gani kutoka Tanzania ambaye ataliwakilisha Taifa kwenye show hii ...

Wednesday, May 8, 2013

0

NEW MUSIC | JULIO - MR. BIG BROTHER

Posted in ,


Baada ya kufanya vizuri kwenye ngoma iitwayo Waters Up aliyofanya na Lucci pamoja na Jokate, mwanamuziki Julio ambaye aliwahi kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa 2012 ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la "Mr. BIG BROTHER".
Mdundo wa ngoma hii umetayarishwa na Time Records studios pamoja na NK Production.

Wednesday, June 13, 2012

0

AY na Sauti Sol Kwa pamoja wiki hii ndani ya BBA

Posted in , , ,

Huu ni mwaka wa Afrika Mashariki kushine! Na by the way sijui nchi zingine zinajisikiaje juu ya hili? Je! Big Brother Africa mwaka huu inataka kulitumia jukwaa lake kuutangaza muziki wa Afrika Mashariki ili kuunyanyua zaidi labda pengine tuwe sawa na Nigeria na Afrika Kusini, ama muziki wetu ‘unabamba sana’!!!
Manaake imekuwa bandika bandua (which is good by the way, we no lie!!). Walianza Campmulla, akaenda Diamond, wiki iliyopita alienda Maurice Kirya na kwenye ‘wheels of steel’ akasimama the cutest female DJ alive in Africa!! (kwani uongo?) Dj Fetty mwenyewe! Mtoto akapiga ‘mikuno’ ya adabu Afrika ikampa salute.
Na sasa hivi it’s all over the media, kwamba Ambwene ‘AY’ Yesaya na bendi machachari ya ‘masela’ tupu ya Sauti Sol ‘watakinukisha’ wiki hii mjengoni! And guess what! Jamaa wanangoma ya pamoja tayari, ‘I dont wanna be alone (shukuru)’ ambayo AY aliwashirikisha.
Huenda hii ikawa ni sababu kubwa ya kuwapandisha wote kwenye stage wiki hii, si unajua zile style za kupiga ndege wawili kwa jiwe moja which at the end of the day it’s all good na waafrika wanaburudika.
So swali letu ni kuwa, I don’t wanna be alone ndio miongoni mwa nyimbo watakazoperform? What do you think, unadhani ni wimbo mahsusi kwa stage ya Big Brother ambayo mara nyingi inapendelea mizuka zaidi? Kwa ufahamu wetu wimbo huu ni wa kusikiliza zaidi. Ama ni aina ya nyimbo ambazo msanii ataziimba kwenye VIP concerts.
Concerts za watu wakubwa kama mameneja ama CEOs ambao wametoka out na wake/waume/wachumba/familia zao na hivyo hawapendi show za mizuka saaaana! Hawataki kelele nyingi zaidi ya kula bata kwa raha zao.
Lakini tunahisi AY na Sauti Sol wanalijua hili kutokana na tweet hii ya Sauti Sol iliyoandikwa juzi usiku, “So were @ the studio making a halflive track for our #BigBrotherStargame set. Its sounding massive hope @AyTanzania feels it. #Shukuru.”
By reading between the lines, utagundua kuwa jamaa wametengeneza live version ya Shukuru na kisha kumtumia AY aifanyie ‘tizi’!! Matumaini yetu ni kuwa wameichangamsha zaidi, ngoja tusubiri.
Kupata show hii kwa AY tunadhani imemfanya ‘the happiest dude alive on earth right now’. Kwanini? Ni kwasababu wiki hii pia video yake aliyoifanya mwishoni mwa mwezi uliopita huko huko Johannesburg Afrika Kusini inatoka.
“My videooooo PARTY ZONE Feat @Marcochali waaah sio Another Chapter ni ANOTHER BOOK,” alitweet wiki hii.
Japo hatujui kama itatoka mapema kabla ya yeye kwenda huko lakini ana uhakika sasa wa kurudi nayo mkononi atokapo huko! And tell you what! Mchongo huo umempa uhakika wa kufanya video nyingine ya mkwanja mrefu.
“AyTanzania Kuperform BBA j’pili, anaangalia uwezekano wa kuitumia hiyo nafasi kufanya video nyingine ya Milioni 30” (Amplifaya). Naona ule msemo wa ‘money make money’ umemuingia vema Ambwene. Go and chop that money homeboy!!!
Mwisho, ni matumaini yetu kuwa Prezzo ataenjoy sana kukutana uso kwa uso na mshikaji wake AY. Hatupati picha kama Biggie akimruhusu mfalme wa bling apande stejini na kuimba ‘Nipe nikupe, raha tupate’ along side AY! Hapatosha zaidi ya fireeee kwenye stage.

Monday, June 11, 2012

0

Africans Wamkubali DJ Fetty

Posted in , ,

Juzi Dj Fetty wa Tanzania ameithibitishia Afrika kuwa muziki anaujua, baada ya kuangusha ngoma za ukweli kwenye live show ya Big Brother.
Akiwa Dj wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuwahi kupata heshima hiyo ya kuburudisha mamilioni ya watazamaji wa ukumbuni kwenye nyumba ya Big Brother pamoja na wale wanaoangalia kupitia TV, Fetty aliyekuwa anajiamini vya kutosha amepokea pongezi kutoka kwa wapenzi wa BBA barani kote.
Katika ukurasa rasmi wa Big Brother Afrika jana kumewekwa status iliyosema, “Our first lady DJ on the Big Brother stage…and she is trailblazing!”

Thursday, June 7, 2012

0

Dj Fetty kutinga Big Brother Stargame weekend hii

Posted in , , ,

Dj wa kwanza wa kike nchini Tanzania Fatma Hassan aka Dj Fetty wa Clouds Fm amepewa heshima ya kuwa Dj wa kwanza wa kike kutoka Afrika Mashariki kutumbuiza kwenye mashindano ya Big Brother Africa.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Fetty amesema, “Juma mosi hii na jumapili nitakua nikispin ndani ya Jumba la BBA STARGAME, nitume kwa kuniandikia playlist itakayo wapagawisha…na shinda very nice cape ya big brother na high quality Tshirt kutoka CloudsFm…legoooooo.”
Fetty ambaye kwa muda alikuwa amepumzika shughuli za udj na kuendelea na utangazaji wa kawaida, amesema imemlazimu kujifua tena ili kuhakikisha kuwa ‘haangushi maembe’ (kumix vibaya nyimbo) wakati atakapokuwa akipiga ngoma.
Amesema mwaliko huo ameupata katikati ya mwezi May na tangu hapo amekuwa akijikumbushia ujuzi kwenye ‘wheels of steel’ kwakuwa hiyo ni nafasi kubwa inayohitaji maandalizi ya kutosha.
Mwaka jana Dj wa kike kutoka kituo cha radio cha YFM cha Ghana Nana Kessewa Adu aka DJ Kess alialikwa pia kuburudisha kwenye Big Brother Amplified.
Hiyo si mara ya kwanza kwa Dj wa Clouds FM kupata mwaliko huo. Mwaka jana Dj Steve B naye alipewa fursa hiyo ya kuonesha ujuzi wa mikono yake kwenye 1 and 2!

 Source: bongo5.com

Monday, May 28, 2012

0

Diamond Platnumz Big Brother Perfomance

Posted in , ,

Jana (May 27) kwenye Big Brother eviction day, Diamond ameifanya Tanzania na Afrika Mashariki kujivunia kwa kudondosha show ya kufa mtu.

Akiwa amevalia shati jeupe, neck tie, mkoti mweusi, suruali nyekundu na miwani mieusi alivyovikwa na si mwingine zaidi ya mwandani wake Jokate Mwegelo aka Kidoti, Diamond alionesha kuwa Tanzania muziki upo!

“Diamond, wearing Kidoti, all the way representing, 4 the 2nd tym kidoti represent kwa BBA7! Proud of u sicy!”

Kwa performance yake iliyowatoa vinywele vya baridi (goose bumps ) watanzania na watazamaji wengine wa Afrika Mashariki, mtangazaji rasmi wa Big Brother IK amemtunuku rasmi jina la ‘R.Kelly wa Tanzania.’

“And @ik_osakioduwa @diamondplatnumz is officially the 'R. Kelly of Tanzania'.

Watu maarufu na wa kawaida Afrika Mashariki nzima wamempa Diamond nyota tano begani kwa kuwakilisha vyema jana.

marya ogopadjs ‏@maryaogopadjs
“Tz your BOY @diamondplatnumz leo ametoklezea yake yote. He made EA proud. "Nenda kamwambie" amefanya poa.”

Wengine walienda mbali zaidi hadi kusema show yake imeifunika show ya J.Cole wa Marekani aliyetumbuiza siku ya ufunguzi wa Big Brother Africa 2012 “Yes he did!proud of him!RT @AyTanzania: RT @HUDDAHMONROE: He @diamondplatnumz has done it,better than J Cole, we should appreciate our own.”

Baada ya kumaliza show ya kwanza @diamondplatnumz hakusita kutaka kujua watanzania wameionaje na kuamua kuwauliza “Hiyo ni ya kwanza ndugu zangu? Imekuaje? Ya pili nakuja na Dancers#teamProudlyTanzanian”.

Hakuna kilichoandikwa zaidi ya kumpongeza kwa kazi yake;”
RT @Chrisintah: Proudly Tanzanian RT @jokateM: S/O to @diamondplatnumz for repping #Tanzania vizuuurriiiiiii on the #BBA7.”

#Proudly East African. # RT @HUDDAHMONROE: Huyu @diamondplatnumz @AyTanzania ako juu sana.1st great performance on #BIGBROAFRICA .Proudly East African. #One♥.”

Hamisi Mandi ‏@BDozen
Show kali...umetisheer!!”

ChannelOAfrica ‏@ChannelOAfrica
​“Hongera sana Diamond umewakilisha vizuri Tanzania.” @diamondplatnumz #OriginalAfricanFamily

Kilimanjaro Lager ‏@Kili_Lager
“Pongezi kwa @diamondplatnumz kwa show nzuri ndani ya @BigBroAfrica usiku huu. 100% Tanzanian Flava”.

@cremedj: Diamond has killed it on “Bigbrother!!!!whaaaaat!!havent seen a performance like that on Bigbrother.”

Baada ya show hiyo Diamond hakusita kutoa shukrani zake kwa watanzania, “Watanzaniaaa, nashukuru sana kwa Support yenuu, bila nyinyi me si kitu, God bless Africa,God bless Tanzania, God bless Diamond Platnumz.”

Akaongeza nyingine, “WaTz, wenzangu bila nyinyi mimi si kitu, nawashukuru sana kwa maombi yenu, pia namshukuru Mamangu mzazi, na woote mnaonisupport! One Love.”

Bila shaka show hiyo ya jana ya Diamond itamfungulia milango mingi ya show za kimataifa kama hizo. All the best homeboy, tunajivunia sana kwa kutuwakilisha vyema.

Friday, May 4, 2012

0

Prezzo Kuiwakilisha Kenya Big Brother, na Tanzania??

Posted in , ,
Ikiwa yamesalia masaa 72 kabla mlango wa Big Brother Star game 2012 haujafunguliwa siku ya Jumapili jioni, tayari washiriki 7 kutoka katika nchi saba wameshatambulishwa.Washiriki hao wanaongozwa na Rapa Tajiri kutoka Kenya ambaye anasifika kwa mbwembwe nyingi CMB Prezzo.
Kwa mujibu wa taarifa toka kwa ofisi ya waandaaji wa shindano hilo la Big Brother Star game Multi choice Tanzania, washiriki wengine ni pamoja na Lady May (Namibia), Msanii Goldie (Nigeria), Mchekeshaji Pro KDB (Ghana), Mfanyabiashara na Modo Barbz (South Africa), Mwimbaji wa R&B Mampi (Zambia), na mwimbaji Roki kutoka Zambia.
Sasa swali ambalo wadau wengi wanajiuliza je ni Star gani ambaye anaweza akaiwakilisha Tanzania katika mjengo huo kama nafasi hiyo itatokea. Habari chini ya Carpet inadai ni Muke ya Diamond Platnumz Jokate…ila haijadhibitishwa na ofisi hizo bado.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ