Monday, June 11, 2012

0

Africans Wamkubali DJ Fetty

Posted in , ,

Juzi Dj Fetty wa Tanzania ameithibitishia Afrika kuwa muziki anaujua, baada ya kuangusha ngoma za ukweli kwenye live show ya Big Brother.
Akiwa Dj wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuwahi kupata heshima hiyo ya kuburudisha mamilioni ya watazamaji wa ukumbuni kwenye nyumba ya Big Brother pamoja na wale wanaoangalia kupitia TV, Fetty aliyekuwa anajiamini vya kutosha amepokea pongezi kutoka kwa wapenzi wa BBA barani kote.
Katika ukurasa rasmi wa Big Brother Afrika jana kumewekwa status iliyosema, “Our first lady DJ on the Big Brother stage…and she is trailblazing!”

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ