Wednesday, May 8, 2013

0

NEW MUSIC | JULIO - MR. BIG BROTHER

Posted in ,


Baada ya kufanya vizuri kwenye ngoma iitwayo Waters Up aliyofanya na Lucci pamoja na Jokate, mwanamuziki Julio ambaye aliwahi kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa 2012 ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la "Mr. BIG BROTHER".
Mdundo wa ngoma hii umetayarishwa na Time Records studios pamoja na NK Production.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ