Next
Previous
Showing posts with label Pah One. Show all posts

Monday, May 20, 2013

0

NAVY KENZO - HOLD ME BACK | NEW TRACK

Posted in , , , , , ,


Hii ni track mpya toka kwa X-Members wa PahOne, AIKA & NAHREEL wakishirikiana na mwenzao WEESTAR ambao kwa pamoja wanafrom Kundi NAVY KENZO.

Sikiliza Track hii hapa:

Thursday, May 9, 2013

0

BAADA YA PAH-ONE KUTENGANA, SASA NI "NAVY KENZO"

Posted in , , , ,


Mapema mwaka huu kundi lilikuwa na mashabiki wengi lijulikanalo kama PahOne kuvunjika, sasa member wake wawili, Nahreel na Aika watengeneza kundi lao ambalo ndani yake wamemshirikisha msanii Weestar.

Kwa pamoja NAHREEL, AIKA na WEESTAR wanatengeneza kundi NAVY KENZO.

Kaa tayari kupata nyimbo kali kutoka kwao na studio ya HomeTown Records chini ya Nahreel na Thomas Mkono.

Tuesday, February 12, 2013

0

NAH-REEL NA AIKA WATHIBITISHA KUJITOA PAH-ONE

Posted in , , ,


Kundi ambalo lilikuwa linaundwa wasanii wanne kwa pamoja likiitwa Pah One sasa limevunjika kwani First Lady wa kundi hilo la Pah One mwanadada Aika ametangaza kujitoa rasmi kwenye kundi hilo pamoja na rapper na producer wa kundi hilo Nahreel na hivyo kundi hilo kubakiwa na wasanii wawili tu.
Aika amesema kuwa sababu ya kumfanya ajitoe kwenye kundi hilo ni kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya kundi hilo na kuongeza kwa kusema Nahreel ni Solo Artist hivyo yeye na Nahreel hawajavunja kundi hilo na si kwamba mapenzi yake yeye na Nahreel ndiyo sababu iliyopelekea kuvunjika kwa kundi hilo.
Nahreel na Aika wanatarajia kuachia ngoma yao ya kwanza wakiwa kama Solo Artists tarehe 14 mwezi huu.

Sunday, December 30, 2012

0

YALIYOJIRI 2012 KATIKA SANAA YA MUZIKI BONGO

Posted in , , , , , , ,

Muziki wa bogno umepiga hatua kubwa sana hasa katika mwaka huu. Mengi Yametokea, Vipaji vingi vimejitokeza. Mitindo mingi ya Kimziki na Dansi iliongezeka.

1. Kupaa Kwa Ommy Dimpoz
Pooooz kwa Poz...
Ommy Dimpoz Na Vanessa Mdee
Huu ulikua ni mwaka wa kijana huyu ambaye alianza kwa kutoka na Nyimbo NAI NAI iliyompa tuzo za kili kwa kumshirikisha Ally Kiba, Akaja na BAADAE, na baadae akafunga mwaka kwa nyimbo ya  ME & YOU ft. Vanessa Mdee. Kijana huyu ameepata mafanikio mengi na kupiga hatua moja ikiwa ni kufanya video nchini Afrika Kusini. Kijana huyu pia alitoa malalamiko ya kumshutumu Lord Eyez kuiba PowerWindow za Gari Lake(Rav4).



2. Kuendelea Kuvuma kwa WEUSI.
WEUSI ni Kundi Muanganiko wa wasanii wa Arusha toka kundi la N2N na RiverCamp likijumuisha Wasanii kama Lord Eyez, Joh Makini, G-Nako, Nikki Wa pili na Bonta. Kundi hili limekua na mafanikio mengi huku kashfa aliyoipata Lord Eyez, kulifanya lipate sifa mbaya na wale walioamini hilo.






3. Udhamini wa OSTAZ JUMA NAMUSOMA kwa WATANASHATI
Watanashati wamevuma sana katika mwaka huu, Wamemrudisha PnC katika Fani, Wameokoa kipaji cha Dogo Janja, Suma Mnazaleti kwa udhamini mzuri walionao. Kundi hilo lilizidi kuwa kubwa kadri mda ulivyokwenda, na wamevuma zaidi kwa nyimbo zao. Uwepo wa Marehemu Sharo Millionea na Teja Kitale uliweka uamsho katika kundi.
HONGERA OSTAZ JUMA


Monday, August 27, 2012

0

DOWNLOAD NYIMBO MPYA, Kama ULIKOSA LINK Before

Posted in , , , , ,


Wednesday, August 22, 2012

0

New Track: PAH ONE-AsaMbee

Posted in
Baada Ya Kutoka na Nyimbo kama YOU, AMATITA na Ghetto, Sasa ni ASAMBEE.....Download and Enjoy

Wednesday, August 8, 2012

0

Pah One Music Group Tanzania: Kundi Linalokuja Kwa Kasi

Posted in

Baadhi ya Info za PAH-ONE



Studio: HometownReccords, Dar Es Salaam
           : http://www.nahreelbeatz.comRecord Label:Pah One

 Contact Info: Website: https://www.facebook.com/PahOne

 About:
Pah One-music group from Tanzania-makes different genres of music,from hiphop to pop, rap and so much more.
Pah one which has 4 members.
Biography:
Pah One is a music group from Tanzania which makes different genres of music, that is from hiphop to pop, rap and so much more.
Pah one which has 4 members Igwee Damas who is a rapper, writer and dancer. Also known as the

Thursday, June 14, 2012

0

PAH ONE: Kundi linalokuja Kwa Kasi

Posted in

Baadhi ya Info za PAH-ONE

Ola, Aika, Damas, NahReel

Studio: HometownReccords, Dar Es Salaam
           : http://www.nahreelbeatz.comRecord Label:Pah One

 Contact Info: Website: https://www.facebook.com/PahOne

 About:
Pah One-music group from Tanzania-makes different genres of music,from hiphop to pop, rap and so much more.
Pah one which has 4 members.
Biography:
Pah One is a music group from Tanzania which makes different genres of music, that is from hiphop to pop, rap and so much more.
Pah one which has 4 members Igwee Damas who is a rapper, writer and dancer. Also known as the inviting point of the group. Ola More Karisma who is a rapper, singer and songwritter but also well known as the dancer and the perfomer. Emmanuel Mkono (Nahreel) who is a great music producer and won many hip hop artists music awards in Tanzania,he is also the major producer of the group,song writer, singer and rapper. Aika Calvin Marealle(Aika/Aikambe) who is the only lady in the group with an amazing voice, she is a singer, song writter and also a rapper.
The group has worked upon several projects including YOU and AMATITA which have been great hit songs in Tanzania and the neighbouring countries.
The group does its projects from Home Town Records in Dar es Salaam with their Vocal Producer Mr.Thomas and Mastering with Mr.Yuddy
This group comprises of great talents and we beleive they will reach destinations just to present their talents and especially their Country.
Description:Music Band


\
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEja71BTPIKw74py2hwJ-BAkG_6rryCOxgzX5LX4f-qMJbUSqr0ZmihZ3wW64eaZtWyuzp7U-rL6QdQ53rlodYWYUHcamdT0MezwWAcQx1lCP4I592QCEU0UbmJKBWdl1HPOnsPlG5RG2OhG/s400/Pah+one......jpg
Download NYimbo Za PahOne hapa: http://www.reverbnation.com/pahone


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ