YALIYOJIRI 2012 KATIKA SANAA YA MUZIKI BONGO
Posted in Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Pah One, Stamina, Tash, Vanessa Mdee, Watanashati, WEUSIMuziki wa bogno umepiga hatua kubwa sana hasa katika mwaka huu. Mengi Yametokea, Vipaji vingi vimejitokeza. Mitindo mingi ya Kimziki na Dansi iliongezeka.
1. Kupaa Kwa Ommy Dimpoz
Pooooz kwa Poz...
Ommy Dimpoz Na Vanessa Mdee |

WEUSI ni Kundi Muanganiko wa wasanii wa Arusha toka kundi la N2N na RiverCamp likijumuisha Wasanii kama Lord Eyez, Joh Makini, G-Nako, Nikki Wa pili na Bonta. Kundi hili limekua na mafanikio mengi huku kashfa aliyoipata Lord Eyez, kulifanya lipate sifa mbaya na wale walioamini hilo.
3. Udhamini wa OSTAZ JUMA NAMUSOMA kwa WATANASHATI

HONGERA OSTAZ JUMA
Mengineyo
- Ferooz Arudi na "ndege mtini"
- Solo Thang "Miss Tanzani"
- Shilole Atoka Kimuziki Zaidi
- Vanessa Mdee Na Tasnia Ya Muziki.
- Hakuna Kama Diamond, Akimbiza Sana katika Tasnia Hii
- UJIO WA RICK ROSS-FIESTA

Pah-One ni kundi la muziki linalofanya kazi zao kupitia HOME TOWN RECORDS chini ya Nahreel Mkono na kaka yake Thomas Mkono. Kundi hili linaundwa na wasanii wanne. NahReel, Ola, Damas na 1st Lady AIKA. Kundi hili limepata mafanikio hasa baada ya kuvutia mashabiki wengi kwa style yao ya muziki, mavazi na jinsi wanavyofanya video zao. Nyimbo zao zilizovuma, Asambeni, YOU, Ghetto, I wanna Get Paid(IWGP).
Kupaa Kwa Vichwa vipya vya Hip Hop Vipya
- Stamina
- Tash
- CountryBoy
- Baghdad
- Mabeste
0 Maoni/comments: