BAADA YA PAH-ONE KUTENGANA, SASA NI "NAVY KENZO"
Posted in Aika, Nahreel, Navy Kenzo, Pah One, Pah-ONEMapema mwaka huu kundi lilikuwa na mashabiki wengi lijulikanalo kama PahOne kuvunjika, sasa member wake wawili, Nahreel na Aika watengeneza kundi lao ambalo ndani yake wamemshirikisha msanii Weestar.
Kwa pamoja NAHREEL, AIKA na WEESTAR wanatengeneza kundi NAVY KENZO.
Kaa tayari kupata nyimbo kali kutoka kwao na studio ya HomeTown Records chini ya Nahreel na Thomas Mkono.
0 Maoni/comments: