DIAMOND PLATINUMZ AMWONYESHA MPENZIYE MPYA
Posted in A.Y, Diamond Platnumz, Hussein Machozi, Jokate Mwegelo, Nuzlah M. Abubakar, Ray C, Wema Sepetu![]() |
Diamond Platinumz Na Mpenziwe Nuzlah M Abubakar. |
Nuzlah ambae nae kwa upande wake pia anasomeka kua yuko engaged kwa Mtoto huyo wa kimanyema Diamond.Nimfanyakazi wa shirika la umoja wa mataifa anaeishi nchini Kenya kwa Raisi Mwai kibaki.kama anavosomeka kwenye profile yake kwenye mtandao wa facebook.Hivyo isije kua ajabu kumuona Mnyaama Platnumz kwenda kwa kina Prezoo au kuamia uko mazima kama ilivyo kwa wasanii wengine kama AY,Hussein Machozi na RayC.