Sunday, September 9, 2012

0

DIAMOND PLATINUMZ AMWONYESHA MPENZIYE MPYA

Posted in , , , , , ,

Diamond Platinumz Na Mpenziwe Nuzlah M Abubakar.



Baada ya maneno ya hapa na pale.Mara karudiana na Wema ,mara bado yuko na Jokate nk. Atimae Msanii HoT anaeshika usukani kila idara kwenye game ya Bongo fleva kwa sasa Diamond Platnums,ameamua kumuweka wazi mpenzi wake mpya anaejulikana kwa jina Nuzlah Abubakar.Diamond ambae bado hajaoge chochote zaidi ya kuweka picha hizo kupitia mtandao wake wa facebook na twitter kua yuko engaged na mrembo huyo,amewaacha mashabiki na watanzania waliowengi wakijiuliza wenyewe pasi nakupata majibu yoyote toka kwa wahusika.
Nuzlah ambae nae kwa upande wake pia anasomeka kua yuko engaged kwa Mtoto huyo wa kimanyema Diamond.Nimfanyakazi wa shirika la umoja wa mataifa anaeishi nchini Kenya kwa Raisi Mwai kibaki.kama anavosomeka kwenye profile yake kwenye mtandao wa facebook.Hivyo isije kua ajabu kumuona Mnyaama Platnumz kwenda kwa kina Prezoo au kuamia uko mazima kama ilivyo kwa wasanii wengine kama AY,Hussein Machozi na RayC.


Habari hii itawafanya walewaliokua na shauku ya kujua kati ya Wema na Jokate ni nani basi anashikilia nafasi yake kwa Diamond.Jibu ni kwamba wote Imekula kwao kwani Raisi uyo wa wasafi sasa ametulia kwa mtoto wa Kislam shombeshombe saafi.Bilashaka safari ya Diamond kuingiza jiko Mjengoni inakaribia soon.
Ukitaka jua mengi zaidi na wawili hawa wanasemaje endelea kupitapita apa.ntakuletea Xclusive za kutosha.

Diamond Platnumz akiwa hana habari mapajani kwa mrembo wake Nuzlah M Abubakar.
Mtoto wa Kiislam uyo Nuzlah anamambo meengi.


Nani amenuunaaa??


Mtoto Mzuri Nuzlah akiwa katika pose.
Source: HABARI MPASUKO

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ