Ifanye Biashara Yako Iwe Inajulikana, Na Upate Wateja Wengi.
Kwa Vifaa Vyote Vya Michezo, Jijini Arusha, Wako Opposite Msikiti Mkubwa, Karibu na CCM Mkoa Wapo Pia Moshi na Babati, Tembelea Sasa
Pata Products Za Forever Living Kwa Afya Yako, Bila Kusahau Vipodozi. Piga 0755-029901.
Kwa Huduma Za KIMAPISHI, Katika Events Mbalimbali, Harusi, MISIBA, Barikio, Send Off nk.
Photo Editing, Graffiti Editions, Pia Kufanya Retouching. Kutengeneza Posters(MABANGO)
Next
Previous
Showing posts with label Ney Wa Mitego. Show all posts
Friday, August 30, 2013
Thursday, August 8, 2013
NEW VIDEO: NAY WA MITEGO FT. DIAMOND PLATNUMZ-MUZIKI GANI PART II
Posted in Diamond Platnumz, Ney Wa MitegoThursday, August 1, 2013
Tuesday, July 23, 2013
NAY WA MITEGO ASEMA ATAMPIGIA KAMPENI MH. LOWASSA 2015
Posted in Mh. Edward Lowassa, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, Ney Wa Mitego
Haya ni mashairi aliyoyaandika Nay wa mitego kwenda kwa mtoto wa Rais a.k.a Riz One akimtaka amwambie baba yake kuwa mtwara hawataki korosho, wanataka gesi na pia Lowassa asiache kugombea urais maana yupo tayari kumpigia kampeni-2015
----------------MASHAIRI YAKE:
Naongea na Riz one hey Riz One, we si mtoto wa raisi Riz one. Mwambie dingi yako Masela hawamuelewi wamakonde wa Mtwara hawataki tena Korosho, wanaitaka ges si mtawaua na mkong'oto?! Nani rafiki wa Lowasa anifikishie salam 2015 nataka agombee uraisi nitamfanyia kampeni wananchi wampe nafasi,
# Salam zao#
my new track coming soon.!!
Friday, June 28, 2013
KUTOKA FACEBOOK: CHIDI BEENZ AOMBA VERSE YAKE IFUTWE KWENYE NYIMBO ALIYOFANYA NA BAGHDAD
Posted in Baghdad PG, Chidi Beenz, Ney Wa MitegoBEHIND THE SCENE: WAAMBIE NIPO- BAGHDAD FT. CHIDI BENZ, NAY WA MITEGO
Posted in Baghdad PG, Chidi Beenz, Ney Wa MitegoDIAMOND NA NAY WA MITEGO KUACHIA NGOMA NYINGINE
Posted in Diamond Platnumz, Ney Wa MitegoWakali wa ngoma “MUZIKI GANI” , yaani Nay Wa Mitego Na Diamond wako njiani kuachia ngoma nyingine wakiwa katika collabo … Inasadikika kuwa Platnumz na Wa Mitego wamesharekodi ngoma kadhaa ikiwemo SALAMU ZAO, UTAKULA JEURI YAKO na nyinginezo ila wanashauriana ni ipi ya kutoa …
MUZIKI GANI imefanya vizuri sana na wasanii hawa na hakutakuwa na tatizo kama wakiendeleza kazi zao kwa pamoja … Wasanii hawa wako kwenye ziara zao tofauti kimuziki lakini tuwategemee tena na ngoma nyingine kali …
Tuesday, May 28, 2013
NEY WA MITEGO: ASILIMIA KUBWA YA WASANII WANAOOA AU KUOLEWA WANAFELI KIMUZIKI
Posted in Ney Wa MitegoIkiwa ni miezi mitatu tu imebaki girlfriend wa Rapper Ney wa mitego "Siwema" kujifungua, Ney ameongea juu ya kushuka kwa mafanikio ya wasanii mara baada ya kuoa, ambapo yeye hatarajii kuoa hivi karibuni.
Ney amesema wengi wa wasanii bongo mara tu baada ya kuoa wanashuka kimziki na kuwataja majina kwa kuwatolea mfano ambapo amesema Marlow kapotea baada ya kuoa, Matonya, Z Anto na Shetta pia nyimbo zake kadhaa zimebuma baada ya kuoa.
"kuna ngoma yangu inaitwa "utakula jeuri yako", ambayo inaelezea vitu vyote hivyo, ambavyo may be watu hawavijui, aaah na pia inaonyesha unatakiwa kufanya nini ukiwa kwenye mazingira hayo, ya kwamba tayari umeshakuwa kwenye ndoa, wasanii wengi sana sio tanzania tu dunia nzima, ukioa au ukiolewa na game yako inaisha, otherwise unatakiwa kuwa mjanja sana, kama alivyokuwa mjanja Jay Z na Beyonce, zipo techniques ambazo unatakiwa kufanya, sio kukurupuka tu na kuoa, na ndio maana asilimia kubwa hasa kibongo bongo sisi wengi ambao wameoa wamefeli , kwa aslilimia nyingi sana wamefeli ijapokuwa hili tatizo ni la dunia nzima.""wapo wengi ndugu yangu Matonya alipotea, Z Anto alivyooa kapotea, Marlow alivyooa kapotea, Shetta kaoa juzi tu zimebuma kadhaa hapa katikati, nafikiri hii ni mifano hai ambayo ipo, so watu wanatakiwa kujipanga, so ukiskia mi nimeoa ujue nimejipanga, najua hatua mia zitakuja mbele, cause i know what am doing, hao waliooa wana nyimbo nyingi nzuri na zinatoka lakini zinakuwa hazikiki kama mwanzo walivyokuwa wakitoa nyimbo, sio kwamba wanakuwa hawarikodi wanarikodi , wimbo mzuri, na kiwango chako kinaweza kuwa hakijashuka, lakini mapokeo yanakuwa ni tofauti, na sio msanii tu hata wafanya biashara na watangazaji pia." amesema Ney wa mitego
Sunday, May 19, 2013
JINSI SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA MUZIKI GANI ULIVYOKWENDA | DIAMOND NA NAY WA MITEGO WAPAGAWISHA MASHABIKI
Posted in Diamond Platnumz, Ney Wa MitegoTuesday, May 14, 2013
UZINDUZI WA VIDEO YA NAY WA MITEGO FT. DIAMOND - MUZIKI GANI | KUFANYIKA WEEKEND HII
Posted in Diamond Platnumz, Ney Wa MitegoSaturday, May 11, 2013
MAONI YA FID Q KUHUSU TRACK MPYA YA NIKKI MBISHI-NEY WA MITEGO
Posted in Fid Q, Ney Wa Mitego, Nikki MbishiFID Q aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya kuulizwa swali kwenye program yake ya mara kwa mara mtandaoni humo ya #ASKFidQ kuhusiana na wimbo huo ...
Swali lilikuwa hivi: Nini mawazo yako juu ya nikki mbishi na his new track (ney wa mitego) ??
@FidQ akajibu, "Nisingependa kuona beef kati yao ..."
FID is one of the illest Hip-Hop emcees in TANZANIA na hilo halina ubishi, ni lipi ameliona katika mdundo huu wa HIP-HOP wa NIKKI MBISHI ?? BEEF kali kuibuka ??
Anyway, ngoja tuskilizie tuone ... Na kama hujausikia mdundo huo wa NIKKI MBISHI unaofahamika kama NEY WA MITEGO, usikilize na kuuchukua hapa chini
Wednesday, May 8, 2013
NICKI MBISHI - NEY WA MITEGO | NEW MUSIC
Posted in Ney Wa Mitego, Nikki MbishiIle ngoma ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu baada ya kutangazwa kwa muda mrefu na kusikika chini chini toka kwa rapper NIKKI MBISHI imeachiwa rasmi leo ...
Nikki amesema kuwa ngoma hiyo ambayo inakwenda kwa jina la "NEEMA WA MITEGO" ameiita hivyo kama tu ni jina la kawaida akiwa amelenga kwenye burudani zaidi na wala hakuna BEEF na mtu yeyote linaloendelea ...
Saturday, April 27, 2013
GARI JIPYA LA NAY WA MITEGO PICHANI AKIONESHA NA BASTOLA ANAYOMILIKI
Posted in Ney Wa Mitego
Mwaka 2013 ni mzuri kwa rapper Nay wa Mitego. Licha ya kuwa na hit single hewani, Muziki Gani aliyomshirikisha Diamond, rapper huyo amenunua ndinga mpya aina ya Mark X yenye thamani ya shilingi milioni 35. Kama hiyo haitoshi, hitmaker wa Nasema Nao, amejihami pia kwa kununua bastola.
Nay ameshare picha hizo kwenye Instagram na Facebook ambapo miongini mwa picha za gari lake ameandika, ‘My new car. Mark X, Zic z wat I nid.” Mwaka huu Nay ametumiwa kwenye show nyingi za Airtel na Vodacom ambazo huenda zimemwingizia mkwanja wa kutosha.
Wednesday, April 17, 2013
BEHIND THE SCENE: MUZIKI GANI-NAY WA MITEGO FT DIAMOND
Posted in Diamond Platnumz, Ney Wa Mitego| LOCATION ILIANZIA HAPA.... |
| Matayarisho yakianza....!! |
| Lights On.....Camera On Set....!! |
| Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....? |
| Usafii kama kawaida yangu.....!! |
| DJ Ommy Crayz the only handsome dj in town akiwa na msanii nguli kutoka South Africa Qboy Mnyama....!! |
| Dada yangu kipenzi Halima kimwana alikuwepo asubuhi asubuhi kuakikisha mambo yakienda saawia...along side with Twins Fashion...!! |
| Diamond Platnumz with Flowers....! |
| From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam and the President Himself Diamond...!! |
| Bebez wakali waliofurika kushow Love kwenye video ya Muziki Gani...! |
| President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...! |
| The Bigdaddy Himself Adam Juma akifanya yake....!! |
| Ilikuwa Location upande wa Casino..... |
| Baada ya kumaliza shooting ya pale casino,safari ilianza kuelekea sinza kumaliza shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong'oto Jazz Band....!! |
| WASAAAFIIIIII......!! |
| Maandalizi yakaanzia hapa...baada ya kuwasili sinza....!! |
| MKONG'OTO JAZZ BAND....!! |
| Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto jazz band na kuchora michoro tofauti ....!! |
| on set...location #2 sinza....... |
| DJ OMMY CRAYZZ...! |
| Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata.... |
Subscribe to:
Posts (Atom)
Msimamo Ligi Kuu TZ
Popular Posts
-
DOWNLOAD AUDIO TRACK ''BONDI by Watoto wa Bibi JAMBO SQUAD ft JUMA NATURE''
-
Papaa Mafido - My Story (Official Video)
-
Download new Track '' AMEN '' By mWana FA ft. Dully and A.Y
-
VIDEO 18+ : SHOWER SCENES FROM THE BIG BROTHER AFRICA "THE CHASE"
-
Brad Pitt's Night Out With P. Diddy in Cannes Had Pre-Bachelor Party Feel
-
NEW TRACK: BOB JUNIOR-KICHUNA (FREE DOWNLOAD)
-
HILI NDO GARI JIPYA LA MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA!
-
Justin Bieber Reveals North American Tour Dates to Promote 'Believe'
-
'True Blood' Season 5: Tina Majorino's Cast as Another Vampire, Tara's Back
-
HII SI YA KUKOSA: MKALI WA TECHNO JanB KUZINDUA ALBUM YAKE MACHI 9
FOLLOW US
NEW BONGO MUSIC
A.B '93 MOBILE APP
Powered by Conduit Mobile
EXTRA BONGO MUSIC
My Top Blogs
LETS CHAT
HABARI ZA BURUDANI ULAYA
Soccer Latest Scores
FOLLOW US NB
KIBONGO ZAIDI
Blog Archive
Arnold Balati 2012. Powered by Blogger.














