Wednesday, May 8, 2013

0

NICKI MBISHI - NEY WA MITEGO | NEW MUSIC

Posted in ,


Ile ngoma ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu baada ya kutangazwa kwa muda mrefu na kusikika chini chini toka kwa rapper NIKKI MBISHI imeachiwa rasmi leo ...
Nikki amesema kuwa ngoma hiyo ambayo inakwenda kwa jina la "NEEMA WA MITEGO" ameiita hivyo kama tu ni jina la kawaida akiwa amelenga kwenye burudani zaidi na wala hakuna BEEF na mtu yeyote linaloendelea ...

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ