Ifanye Biashara Yako Iwe Inajulikana, Na Upate Wateja Wengi.
Kwa Vifaa Vyote Vya Michezo, Jijini Arusha, Wako Opposite Msikiti Mkubwa, Karibu na CCM Mkoa Wapo Pia Moshi na Babati, Tembelea Sasa
Pata Products Za Forever Living Kwa Afya Yako, Bila Kusahau Vipodozi. Piga 0755-029901.
Kwa Huduma Za KIMAPISHI, Katika Events Mbalimbali, Harusi, MISIBA, Barikio, Send Off nk.
Photo Editing, Graffiti Editions, Pia Kufanya Retouching. Kutengeneza Posters(MABANGO)
Next
Previous
Showing posts with label Amini. Show all posts
Wednesday, November 27, 2013
Wednesday, August 14, 2013
BARNABA NA AMINI WAANZISHA KUNDI JIPYA NJE YA THT
Posted in Amini, Barnaba, THT
Wale wakali toka jumba la vipaji Tzee- THT walioishi kama pacha kwenye jumba hilo (Amini & Barnaba) wameungana na kuunda crew yao mpya kimziki iitwayo “GEMENIH” wakimaanisha wao ni kama mwezi na nyota angani. “Yap, Tumeungana kufanya kazi pamoja kama kundi nje ya THT tukiwa ni matunda ya THT na tumeamua kujiita hivyo kutokana na kutegemeana kwetu kwenye kazi na umuhimu wa uwepo wa kila mmoja kwenye mziki wa bongo kama umuhimu wa nyota na mwezi angani.” Barnaba alilidokeza BK.
Kundi hilo kwa sasa lina-bang hewani na ngoma yao ya ‘Why me’ huku wakiwa na mipango mingi ya utendaji wao wa kazi kama Gemenih. Pia waliongeza kitu juu ya Gemenih na THT.
“Kikubwa ni kwamba, watu wasidhani tumetoka au tuna ugomvi na THT ila tumehitimu mafunzo pale na kutunukiwa vyeti nasi ni matunda ya THT na bado tunashirikiana nao kwa kuwapa ushauri hata kuwatungia nyimbo. Kwa ufupi tumewaachia wengine nafasibaada ya sisi kufuzu mafunzo pale.” Amini aliongeza.
Gemenih ipo chini ya meneja aitwaye Moses Clemence ambaye ndiye ana-control mambo yote yahusuyo vijana hao.
Saturday, May 5, 2012
Angalia Nyimbo 'MBONI YANGU-Tanzania All Stars for SAJUKI'
Posted in Afande Sele, Amini, Barnaba, Chidi Beenz, Fid Q, Mwasiti, Proffesor Jay, THTFriday, May 4, 2012
Wasanii na Wanasiasa waungana kutunga nyimbo ya kumsaidia Sajuki.
Posted in Afande Sele, Amini, Barnaba, Clouds FM, Fid Q, Halima Mdee, Sajuki, THT, Wema Sepetu, Zitto KabweZaidi ya wasanii 25,baadhi ya watu maarufu,na wanasiasa vijana wakiwemo Zitto Kabwe, Halima Mdee, Esther Bulaya, Vicky Kamata na January Makamba wameshiriki katika wimbo,Mboni Yangu ,ambao umetungwa maalumu kwa ajili ya kuhamasisha michango kwa ajili ya msanii Sajuki.
Wimbo huo ambao umetengenezwa katika studio za THT pale Kinondoni jijini Dar-Es-Salaam chini ya produsa Tudd Thomas umefanywa maalum kwa ajili ya kuhamasisha uchangiaji wa fedha za matibabu ya Sajuki ambaye anasumbuliwa na uvimbe ndani ya tumbo lake.
Kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali vilvyokuwepo katika utengenezaji wa nyimbo hiyo Jumla ya wasanii 27 wanaofanya aina mbali mbali za muziki kama Bongo Fleva, Hip hop, Taarab na Afro Pop walishirikiana vizuri na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kufanikisha wimbo huo wa Mboni Yangu .
Nyimbo hiyo pia itakuwepo katika muvi ya msanii wastara ambaye ndiye ameshirikiana na Dina Marios wa kipindi cha Leo Tena Clouds Fm kwa pamoja walichagua jina la wimbo huo Mboni Yangu.Kwa mujibu wa Matangazo ya radio clouds asubuhi hii kwenye kipindi cha Teo Tena watu binafsi, ama kampuni au kikundi wanaweza kwenda mjengoni na kuchangia pesa kwa ajili ya matibabu ya msanii huyo ambayo yanatakiwa yakafanyike nchini India baadae mwezi huu.
Malengo ya ukusanyaji ambayo yamewekwa kwa siku ya leo ni angalau shilingi milioni 12.
Baadhi ya waliohusika katika nyimbo hiyo ni pamoja na Chidi Benz, Prof Jay, Ali kiba, Queen Darlin, WemaSepetu, Barnaba, Halima Mdee, Wastara, Mwasiti, Amini, Viki Kamata, Madee, afande Sele, Fid Q, Linex, William Mtitu na Wema Sepetu.
Tayari harambee ya kuchangisha pesa imeshaanza na kwa habari ambazo zimetangazwa mchangiaji wa kwanza ametoa dola 5000 na pia mkurugenzi wa Clouds Media Joseph Kusaga naye ametoa mchango wa Kiasi cha shilingi Milioni 1.
Credits to: bongo5.com
Subscribe to:
Posts (Atom)
Msimamo Ligi Kuu TZ
Popular Posts
-
DOWNLOAD AUDIO TRACK ''BONDI by Watoto wa Bibi JAMBO SQUAD ft JUMA NATURE''
-
Papaa Mafido - My Story (Official Video)
-
Download new Track '' AMEN '' By mWana FA ft. Dully and A.Y
-
VIDEO 18+ : SHOWER SCENES FROM THE BIG BROTHER AFRICA "THE CHASE"
-
Brad Pitt's Night Out With P. Diddy in Cannes Had Pre-Bachelor Party Feel
-
NEW TRACK: BOB JUNIOR-KICHUNA (FREE DOWNLOAD)
-
HILI NDO GARI JIPYA LA MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA!
-
'True Blood' Season 5: Tina Majorino's Cast as Another Vampire, Tara's Back
-
Justin Bieber Reveals North American Tour Dates to Promote 'Believe'
-
HII SI YA KUKOSA: MKALI WA TECHNO JanB KUZINDUA ALBUM YAKE MACHI 9
FOLLOW US
NEW BONGO MUSIC
A.B '93 MOBILE APP
Powered by Conduit Mobile
EXTRA BONGO MUSIC
My Top Blogs
LETS CHAT
HABARI ZA BURUDANI ULAYA
Soccer Latest Scores
FOLLOW US NB
KIBONGO ZAIDI
Blog Archive
Arnold Balati 2012. Powered by Blogger.



















