Next
Previous
Showing posts with label Nako 2 Nako. Show all posts

Thursday, June 27, 2013

0

TRACK MPYA: IBRA DA HUSTLA FT. UDE UDE - SABABU YA WEWE

Posted in , ,
Ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa Ibra Da Hustler ambae before alikuwa katika kundi la Nako 2 Nako Soldiers ambalo maskani yake kubwa ni jijini Arusha.

“SABABU YA WEWE” ndio jina la ngoma hiyo, ambapo katika wimbo huu, Ibra anaelezea story nzima ya maisha yake, kuanzia kutumia madawa ya kulevya hadi kuacha.

Sikiliza wimbo “SABABU YA WEWE” hapa chini …

Tuesday, June 25, 2013

0

UTHIBITISHO WA MSANII WA NAKO 2 NAKO IBRA DA HUSTLA KUWA KAACHA KUTUMIA MADAWA HUU HAPA

Posted in , ,


Kupitia sammisago.com Rapper Ibra Da Hustler amefunguka kuwa sasa anampango wa kubadilisha maisha yake na jambo alilo anza nalo ni kuachana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya Herion na Crack Cocaine. Da Hustler ameniambia kwenye exclusive interview niliyo mfanyia kuwa.

1] Nimeacha Kabisa madawa na nina siku nne sijagusa toka nimejiunga na hii taasisi, nimejifunza kuvumilia arosto na matumaini yangu ni kuacha kabisa madawa kwani yameharibu maisha yangu kabisa. Ni Uharibifu wa pesa nyingi na umekaribisha dharau kwenye maisha yangu

2] Nikifanikiwa kuwa sober kabisa mpango wangu ni kurudi vizuri kwenye mziki kwani ndio uwezo wa kazi nilionao na najua mashabiki bado wana hamu na kazi zangu.

3] Nako 2 Nako na Weusi wananipa ushirikiano mzuri sana, wote wamefurahi kusikia nimeacha madawa na Lord ndio aliye nipigia simu kuniambia nimefanya jambo la msingi.

4] Yes ni kweli kuna binti alini shawishi kutumia madawa na ndio najuta kumfahamu na kwanini nilikubali. Nimegungua hataki maendeleo yangu kabisa nanimejifunza kutoka kwake, sasa nikimuambia mtu usiguse madawa ataamini kwani najua kitu gani atapata kwenye maisha yake.

5] Wimbo Wa Sababu Ni Wewe Nimeimba mambo yote yaliyo nitokea toka nimeanza kutumia madawa na jinsi yalivyo mess up my life, Matumaini yangu vijana watajifunza kutoka kwangu kuhusu madhara ya hii kitu.

Saturday, October 6, 2012

0

UKIPEWA NAFASI YA KUCHAGUA MTU WA KUPIGA COLLABO NA RICK ROSS HAPA TZ UTAMPA NANI???

Posted in , , , , , , , ,
Tumekua Tukizoea Kuona Ambwene Yesaya Akipiga Collabo na Wasanii wa Kimataifa, JE INAPOTOKEA UNAPEWA NAFASI YA KUCHAGUA MTU WA KUPIGA COLLABO NA ''THE BOSS'' UTAMCHAGUA NANI??? Pah One, MwanaFA, JohMakini Mwamba Wa Kaskazini Na Weusi, FID Q, Stamina SuperMario, Godzilla, Young Dee, Diamond Platnumz, Ally Kiba AU Msanii Gaani???
#WEKA WAZO LAO HAPA>>>
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ