NYIMBO MPYA AMBAYO A.Y NA FA WAMEFANYA NA J.MARTINS HII HAPA
Posted in A.Y, J Martins, Mwana FANi ngoma mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka kwa MwanaFA pamoja na AY wakiwa wamemshirikisha msanii kutoka Nigeria maarufu kama J Martins, ngoma inaitwa “BILA KUKUNJA GOTI”.
Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Marco Chali kutoka MJ Records.


0 Maoni/comments: