Next
Previous
Showing posts with label Wiz Khalifa. Show all posts

Tuesday, July 9, 2013

0

HIVI NDIVYO HARUSI YA WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE ILIVYOKUWA

Posted in ,

Saturday, May 11, 2013

0

ACE HOOD - NEW BUGATTI REMIX | FT. Wiz Khalifa, T.I., Meek Mill, French Montana, 2 Chainz, Future, DJ Khaled and Birdman

Posted in , , , , , , ,


Monday, April 29, 2013

0

NEW VIDEO: Sean Kingston - Beat It ft. Chris Brown, Wiz Khalifa

Posted in , ,

Its a brand new video kutoka kwa Sean Kingston akiwa amemshirikisha Chris Brown pamoja na Wiz Khalifa na ngoma inaitwa "BEAT IT"...

Friday, April 19, 2013

0

HII NDO TATOO YA AMBER ROSE ALIYOICHORA KATIKA MKONO WAKE, IKIWA NA SURA YA WIZ KHALIFA.

Posted in ,

You ain't officially his Mrs yet and you have him tattooed on your arm? Not even his name, his face? This here is a brand new kind of dumb! Hehe. *Jokes*. But hey, he's her baby daddy so they are tied for life and they seem to be really in love. Hope they last! :-)

Tuesday, March 26, 2013

0

PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA VIDEO BEAT IT(SEAN KINGSTON FT. CHRIS BROWN & WIZ KHALIFA)

Posted in , ,

Mwanamuziki kutoka America, Sean Kingston ambae hapo nyuma alitikisa sana na baadhi ya ngoma zake kama Beautiful Girls, Me Love, Fire Burning, Take You There, No Letting Go na nyinginezo ambazo zilichangia kufanya jina lake kuwa juu zaidi ulimwenguni kote yuko mbioni kuachia video ya track nyingine iendayo kwa jina la ''BEAT IT''

Thursday, March 14, 2013

0

WIZ KHALIFA ASAINI DEAL NA CHUCK TAYLORS "ALL STAR"

Posted in ,
Msanii wa Hip-Hop kutoka America, Wiz K amesign deal nono kabisa na kampuni ya kutengeneza raba CHUCK TAYLOR's Converse Allstar.
Wiz ambae amekuwa akivaa converse mara kwa mara na pia kuonekana kuzipenda, Chuck Taylors wameonekana kurudisha fadhila kwa style hii kwa rapper Wiz Khalifa kwa deal ambayo Wiz amei-rank kuwa ni KUBWA...
Siku mbili nyuma, Wiz alitweet "Finally got my converse deal!!! Im f***in amped! I did an add for my boys but this sh** here is MAJOR," (@Wizkhalifa)
Sasa ni Taylor Gang na Chuck Taylors on this one... Trully MAJOR... Tuisubirie hii tuone!!

Sunday, February 10, 2013

0

WIZ KHALIFA KUFANYA MOVIE NA 50 CENT

Posted in ,
Rapper kutoka kundi la Taylor Gang, Wiz Khalifa hivi karibuni amefunguka juu ya mipango yake ya kufanya filamu moja na rapper 50 Cent.
Akiongea na Hard Knock TV, Wiz pia aliongelea kuhusu nyimbo zake mpya ambazo anatarajia kuzitoa hivi karibuni ambazo amefanya na stars mbali mbaliTyga, Joe Budden, Molly na wengine wengi.
Akiongelea zaidi kuhusu movie ambayo amepanga kufanya na 50 Cent, Wizanasema ameshafanya wimbo pamoja na 50 so haikuwa mbaya wazo lilipokuja as ameshafanya na Snoop Dogg pia. Akaendelea pia kuwa, anamuheshimu 50 as in kibiashara zaidi na kutengeneza mkwanja, so si kitu kibaya...
Check zaidi Wiz akiongelea mambo mengi zaidi katika video hii hapa chini:

source: GongaMx

Wednesday, February 6, 2013

0

WIZ & AMBER (JUICY COUPLES MAGAZINE COVER)

Posted in ,


Wiz & Amber cover the March/April issue of Juicy Magazine!

Saturday, December 29, 2012

0

MCs BORA KWA MWAKA 2012

Posted in , , , , , , , , ,
Kutoka MTV

Rick Ross Proves He's Bawse At #1

Even without his own album, Rozay owned 2011 and topped our Hottest MCs list.

 

Drake Kills The Game To Take #2

YMCMB standout was 'On One' this year, from undeniable features to Take Care.

Wednesday, December 12, 2012

0

WIZ KHALIFA AZINDUA ALBUM YAKE 0.N.I.F.C, HUKU SIKU HII 12/12/12 IKIITWA #WIZKHALIFA DAY HUKO PITTSBURGH

Posted in


Councilman Bill Peduto declared 12-12-12 “Wiz Khalifa Day” as Wiz Khalifa, with Amber Rose and family behind him was recognized in ceremonial honor.
Also, Today Wiz Khalifa’s “ONIFC” debuted at #2 selling at around 111,900 copies (official numbers will pop up somewhere) only second to Taylor Swift who continues to dominate the music charts with R.E.D. Tomorrow Wiz takes center stage at the Consol Energy Center with his Taylor Gang Crew in full.
Make sure to pick up ONIFC in stores and on iTunes today!


Wiz Khalifa was in City Council chambers with his family this morning to accept a proclamation for being an ambassador for his hometown of Pittsburgh.
The rapper, a graduate of Pittsburgh Allderdice High School, is in town for a concert at Consol Energy Center on Wednesday.
Council declared 12-12-12 to be Wiz Khalifa Day in Pittsburgh.
The rapper accepted the honor saying that he has always bragged about being from Pittsburgh and that he doesn't feel as though he's accomplished much yet.

Tuesday, October 9, 2012

0

WIZ KHALIFA AKIONESHA MIMBA YA AMBER ROSE KATIKA PICHA YA JARIDA LA XXL

Posted in ,
Wiz Khalifa and Amber Rose wakiwa katika cover la mbele la jarida la XXL kwa ajili Ya Mwezi wa kumi na wa kumi na moja.
Picha hii ni ya pili, Ikiwemo katika jarida hilo Maarufu la XXL Alisema Wiz Khalifa Katika Mtandao wa Kijamii wa Facebook

''Here's another pic from the XXL Magazine cover photo shoot. The October/November issue of XXL hits stands nationwide today! http://bit.ly/NTwtnL''-Wiz Khalifa

Saturday, August 25, 2012

0

NEW MUSIC: Wiz Khalifa Ft.Young Jeezy and Lil Wayne

Posted in , ,

Saturday, April 2, 2011

0

Amber Rose Opens Up About Her Relationship with Wiz Khalifa

Posted in ,
Amber Rose recently opened up about her relationship with Wiz Khalifa. In an interview with Sway, Amber Rose, speaking of Wiz Khalifa, said;

"He's really funny, really charming...He's really charming, really funny. I didn't know much about his music at first and obviously he became a good friend. I started listening to his music and we became really close. He's awesome, he's talented, he's amazing."
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ