PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA VIDEO BEAT IT(SEAN KINGSTON FT. CHRIS BROWN & WIZ KHALIFA)
Posted in Chris Brown, Sean Kingston, Wiz Khalifa
Mwanamuziki kutoka America, Sean Kingston ambae hapo nyuma alitikisa sana na baadhi ya ngoma zake kama Beautiful Girls, Me Love, Fire Burning, Take You There, No Letting Go na nyinginezo ambazo zilichangia kufanya jina lake kuwa juu zaidi ulimwenguni kote yuko mbioni kuachia video ya track nyingine iendayo kwa jina la ''BEAT IT''
BEAT IT ambayo amemshirikisha rapper Wiz Khalifa pamoja na Chris Brown ime-shoot-iwa katika mji wa Malibu, California.
Pia track hii ni moja ya track ambazo zipo katika album yake mpya iendayo kwa jina la Back 2 Life. Hizi ni baadhi ya picha za behind the scene ya video hiyo:
0 Maoni/comments: