Thursday, March 14, 2013

0

WIZ KHALIFA ASAINI DEAL NA CHUCK TAYLORS "ALL STAR"

Posted in ,
Msanii wa Hip-Hop kutoka America, Wiz K amesign deal nono kabisa na kampuni ya kutengeneza raba CHUCK TAYLOR's Converse Allstar.
Wiz ambae amekuwa akivaa converse mara kwa mara na pia kuonekana kuzipenda, Chuck Taylors wameonekana kurudisha fadhila kwa style hii kwa rapper Wiz Khalifa kwa deal ambayo Wiz amei-rank kuwa ni KUBWA...
Siku mbili nyuma, Wiz alitweet "Finally got my converse deal!!! Im f***in amped! I did an add for my boys but this sh** here is MAJOR," (@Wizkhalifa)
Sasa ni Taylor Gang na Chuck Taylors on this one... Trully MAJOR... Tuisubirie hii tuone!!

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ