WIZ KHALIFA KUFANYA MOVIE NA 50 CENT
Posted in 50 Cent, Wiz Khalifa
Rapper kutoka kundi la Taylor Gang, Wiz Khalifa hivi karibuni amefunguka juu ya mipango yake ya kufanya filamu moja na rapper 50 Cent.
Akiongea na Hard Knock TV, Wiz pia aliongelea kuhusu nyimbo zake mpya ambazo anatarajia kuzitoa hivi karibuni ambazo amefanya na stars mbali mbaliTyga, Joe Budden, Molly na wengine wengi.
Akiongelea zaidi kuhusu movie ambayo amepanga kufanya na 50 Cent, Wizanasema ameshafanya wimbo pamoja na 50 so haikuwa mbaya wazo lilipokuja as ameshafanya na Snoop Dogg pia. Akaendelea pia kuwa, anamuheshimu 50 as in kibiashara zaidi na kutengeneza mkwanja, so si kitu kibaya...
Check zaidi Wiz akiongelea mambo mengi zaidi katika video hii hapa chini:
source: GongaMx
0 Maoni/comments: