Next
Previous
Showing posts with label Salama Jabir. Show all posts

Saturday, May 4, 2013

0

ELLEN DeGENERES (MAMA) NA SALAMA JABIR (MTOTO) |comparisons|

Posted in ,
Salama Jabir amekua ni miongoni mwa watangazaji wanaopendwa sana Tanzania huku akiwa amezaliwa Zanzibar, licha ya kupendwa amekuwa akichukiwa na wengi hasa wale ambao wamekua wakikosolewa naye katika shindano la BSS ambapo amekuwa judge kwa mda mreefu. Mwanadada huyu amekuwa akipendwa kutoka na muonekano wake ucheshi wake pamoja na style yake ya mavazi (tomboy). Katika fatilia fatilia yangu ya vipindi katika TV nikagundua kua mwanamama mcheshi ELEN DEGENERES anafanania kimatendo na SALAMA JABIR.

http://cdn01.cdn.justjared.com/wp-content/uploads/headlines/2012/04/ellen-degeneres-be-my-wetopia-neighbor.jpgCOMPARISONS
  • Wote ni Mahost wa Vipindi - MKASI na ELEN SHOW
  • Huvaa kama Tomboys
  • Wanachana Live, yani hawafichi kitu wakati wa mahojiano
  • Judges
 
Well yaweza kua ELLEN ni idol wa Salama kwa mda mrefu kwani yeye ni mzee.
 Ellen Lee DeGeneres (born January 26, 1958) is an American stand-up comedian, television host and actress. She has hosted the syndicated talk show The Ellen DeGeneres Show since 2003.

 











NI MTAZAMO TU

Wednesday, May 1, 2013

0

JIHADHARI NA HAWA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LA SALAMA JABIR, KUTAPELI WATU KWA NJIA YA KUTOA MIKOPO

Posted in
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg7PXS55KqLqKKGYXfu7uLKPLbmJaakccoCluuTgy2CIRh4pMZRYgXNKlUImUcc_4s-6YcwE_PvqRy7zp_Enb7aTttcuWnFX30c3LMbtQtpw4V_MEYpmUVZ08BF_PP3RG_gXgZENmGgkNLx/s640/untitled.PNG\
 WALE MATAPELI WALIOTAPELI WATU KWA JINA LA ZITO KABWE NA HATIMAYE UKWELI WAO KUJULIKANA KUA NI MATAPELI, SASA WAMEKUJA KWA NJIA MPYA KABISA. UCHUMGUZI ULIOFANYWA NA PAPARAZI WA BONGOCLANTZ.COM, UMEGUNDUA KUA NOW WAMEKUJA NA KUTAPELI WATU KWA NJIA YA SACCOS NA WAMEIITA AKIBA SACCOS BANK. AMBAO PIA UNAWEZA WAPATA KWA LINK HII   http://www.akibasaccos.wapka.mobi/index.html  KATIKA UTAPELI WAO HUO HUJIFANYA KUA WANATOA MKOPO WA KUANZIA LAKI TANO HADI MILLIONI 20. NA ILI UJIUNGE NI LAZMA UJAZE FORM YAO AMBAYO UTATAKIWA KUWATUMIA SH 25,000 KWENYE NAMBA
0766 343 693 AMBAYO  WANASEMA WAMEISAJILI KWA JINA LA AKIBA SACCOS LAKIN JINA SAHII KWENYE LA USAJILI WANAMBA HIYO NI DEUS MARINA

Saturday, April 6, 2013

0

MKASI TV - SPECIAL SHOWS

Posted in
Mkasi TV shows zimefika 70 ... Na show hii itaendelea tena ifikiapo June, yaani mwezi wa sita mwaka huu...
Show hii inakuletea baadhi ya shows zake ambazo imewahi kufanyya na watu maarufu na wasio maarufu tofauti tofauti ...
Katika video hii, Mkasi pia imeshirikisha fans wa kipindi hiki ikiwemo mawazo pamoja na kuangalia ni kipi kilimpendeza katika 70 hivyo ...
With her head presenter Salama J ... Check the special show of Mkasi TV :

Sunday, September 30, 2012

0

KWANINI WASHINDI WA BSS HUFA BAADA YA MASHINDANO?

Posted in , ,
Leo wakati nakula chakula cha usiku nyumbani nikatumiwa text na mdogo wangu fulani hivi ambaye ndiye mmiliki wa Blogu Hii,Arnold Balati ''oya,cheki huyo mwanamke BSS anaimba nyimbo ya Adele'' basi bila hiyana nikachukua remote na kuweka ITV,yaani vitu nilivyovikuta huko ndani ni vya kusikitisha kwenye hili shindano wanaloita wenye Epic Bongo Star Search,hebu tujiulize kidogo ni mshindi gani wa Bongo Star Search unayemjua wewe anayekaribia hata robo ya msanii wa kawaida wa Tanzania,yaani mimi nawaona kama wanapotezewa muda wao..

Tujiulize washindi mbona hawasikiki baada ya mashindano kuisha,huwaga wanaenda wapi??lini mara ya mwisho umesikia ''ile nyimbo nzuri sana,yule ni mshindi wa BSS mwaka fulani''

Niwe mkweli tu,nimekuwa nikifuatilia mashindano makubwa kama X-Factor,American Idol na The Voice kwa kweli judges wana mchango mkubwa katika kumtengeneza au kumbomoa mshiriki/msanii

Kwetu Tanzania majaji wanaongoza kuharibu washiriki kwa asilimia 80,wanaoweza wanaamiwa hawajui  na wasioweza wanaambiwa ''wimbo mgumu ila wewe unaweza na ni staa'' Jamani!

Madam Rita= mfanyabiashara huyu anajua nini kuhusu music kama sio kutuharibia washiriki

Salama= Nilisema,Maisha Plus kunamuhitaji akaendeshe kipindi,sio jaji wa muziki huyu

Master J= ana akili ya kutengeneza beat na sio kujaji uwezo wa mshiriki


Kitime yuko wapi?Jay Dee anatakiwa,anaujua muziki na umemletea mafaniio ya kukubalika ndani na nje,AY je?  mbona hatuweki majaji wa maana???

Sina beef na mtu,ni mawazo yangu tu!!

EBSS BADILISHENI MAJAJI!!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ