ELLEN DeGENERES (MAMA) NA SALAMA JABIR (MTOTO) |comparisons|
Posted in Ellen Degeneres, Salama Jabir
Salama Jabir amekua ni miongoni mwa watangazaji wanaopendwa sana Tanzania huku akiwa amezaliwa Zanzibar, licha ya kupendwa amekuwa akichukiwa na wengi hasa wale ambao wamekua wakikosolewa naye katika shindano la BSS ambapo amekuwa judge kwa mda mreefu. Mwanadada huyu amekuwa akipendwa kutoka na muonekano wake ucheshi wake pamoja na style yake ya mavazi (tomboy). Katika fatilia fatilia yangu ya vipindi katika TV nikagundua kua mwanamama mcheshi ELEN DEGENERES anafanania kimatendo na SALAMA JABIR.
COMPARISONS
COMPARISONS
- Wote ni Mahost wa Vipindi - MKASI na ELEN SHOW
- Huvaa kama Tomboys
- Wanachana Live, yani hawafichi kitu wakati wa mahojiano
Well yaweza kua ELLEN ni idol wa Salama kwa mda mrefu kwani yeye ni mzee.
Ellen Lee DeGeneres (born January 26, 1958) is an American stand-up comedian, television host and actress. She has hosted the syndicated talk show The Ellen DeGeneres Show since 2003.
NI MTAZAMO TU
Ellen Lee DeGeneres (born January 26, 1958) is an American stand-up comedian, television host and actress. She has hosted the syndicated talk show The Ellen DeGeneres Show since 2003.
NI MTAZAMO TU
0 Maoni/comments: