KWANINI WASHINDI WA BSS HUFA BAADA YA MASHINDANO?
Posted in Master Jay, Ritah Poulsen, Salama Jabir
Leo wakati nakula chakula cha usiku nyumbani nikatumiwa text na mdogo wangu fulani hivi ambaye ndiye mmiliki wa Blogu Hii,Arnold Balati ''oya,cheki huyo mwanamke BSS anaimba nyimbo ya Adele'' basi bila hiyana nikachukua remote na kuweka ITV,yaani vitu nilivyovikuta huko ndani ni vya kusikitisha kwenye hili shindano wanaloita wenye Epic Bongo Star Search,hebu tujiulize kidogo ni mshindi gani wa Bongo Star Search unayemjua wewe anayekaribia hata robo ya msanii wa kawaida wa Tanzania,yaani mimi nawaona kama wanapotezewa muda wao..
Tujiulize washindi mbona hawasikiki baada ya mashindano kuisha,huwaga wanaenda wapi??lini mara ya mwisho umesikia ''ile nyimbo nzuri sana,yule ni mshindi wa BSS mwaka fulani''
Niwe mkweli tu,nimekuwa nikifuatilia mashindano makubwa kama X-Factor,American Idol na The Voice kwa kweli judges wana mchango mkubwa katika kumtengeneza au kumbomoa mshiriki/msanii
Kwetu Tanzania majaji wanaongoza kuharibu washiriki kwa asilimia 80,wanaoweza wanaamiwa hawajui na wasioweza wanaambiwa ''wimbo mgumu ila wewe unaweza na ni staa'' Jamani!
Madam Rita= mfanyabiashara huyu anajua nini kuhusu music kama sio kutuharibia washiriki
Salama= Nilisema,Maisha Plus kunamuhitaji akaendeshe kipindi,sio jaji wa muziki huyu
Master J= ana akili ya kutengeneza beat na sio kujaji uwezo wa mshiriki
Kitime yuko wapi?Jay Dee anatakiwa,anaujua muziki na umemletea mafaniio ya kukubalika ndani na nje,AY je? mbona hatuweki majaji wa maana???
Sina beef na mtu,ni mawazo yangu tu!!
EBSS BADILISHENI MAJAJI!!

0 Maoni/comments: