Next
Previous
Showing posts with label Ray Kigosi. Show all posts

Sunday, July 7, 2013

0

TAMASHA LA MATUMAINI: RAY KIGOSI APATA USHINDI WA MEZANI BAADA ZITTO KABWE KUTOKUEPO

Posted in , ,
Mwigizaji Ray na mbunge Zitto Kabwe pambano halijafanyika, Mh Zitto alipata dharura. ‎

Tuesday, June 18, 2013

0

HII NDO SABABU ALIYOTOA RAY KIGOSI JUU YA KAMPUNI YAKE (RJ) KUWA BORA KWA UZALISHAJI HAPA TANZANIA

Posted in , ,

IMG_4726
Mwigizaji bora wa kiume 2012 ni JB

Mwigizaji bora wa kike 2012 ni Irene Uwoya.
baadhi ya washindi wengine ni pamoja na:

Best movie 2012 ni Kijiji cha Tambua haki ya marehemu Kanumba
Movie iliyouza sana 2012 ni Ndoa yangu ya Steven Kanumba.
Best Action movie ni ya Jimmy Master ya Double J
Best Negative role ameshinda Chek budi
Mwigizaji bora chipukizi ni Niva.
Best Supporting Actress ni Riyama Ally
Mwigizaji bora chipukizi wa kike ni Irene Paul.
Mchekeshaji bora 2012 ni King Majuto
Mwongozaji bora wa filamu 2012 ni Vicent Kigosi (Ray)

Thursday, April 4, 2013

0

FILAMU YA UDHALILISHAJI... RAY ASALIMU AMRI, SOMA ALICHOKIAMUA HAPA

Posted in
HATIMA ya filamu ya mwigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’, Sister Mary iliyokuwa imezuiwa kwa kudaiwa kudhalilisha ukatoliki, imefahamika kuwa mwigizaji huyo amesalimu amri ya viongozi wa kanisa hilo.
Cover la filamu hiyo ya Sister Marry.
Kanisa Katoliki nchini linaloongozwa na Muadhama Polycarp Kadinali Pengo, liliizuia filamu hiyo kwa kile kilichodaiwa kuwa ilikuwa ikionesha udhalilishaji kwa namna ambavyo watawa wamevaa mavazi mafupi.
Baadhi ya vipande vilivyomo katika filamu hiyo.

Friday, May 25, 2012

0

The Mboni Show yazinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam

Posted in , , , , , ,
Mobine Masimba Show Launch ilizinduliwa rasmi jijini Dar Es salaam katika Hotel ya Serena na wadau kibao wa muziki na filamu walijitokeza….cheki picha wadau
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ