Next
Previous
Showing posts with label P-Funk Majani. Show all posts

Friday, May 31, 2013

0

PICHA: P-FUNK NA ADAM MCHOMVU HAWANA UGOMVI WOWOTE

Posted in ,

0

VIDEO: P-FUNK ALIVYOKUA AKIILAUMU CLOUDS FM KWA KUSABABISHA KIFO CHA NGWAIR

Posted in , ,




Wednesday, May 8, 2013

0

PRODUCER GWIJI TANZANIA AUNGANA NA #TEAM_ANACONDA YA LADY JAY DEE

Posted in , ,

Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.

Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu.

Hizi ni Tweet za P-Funk Majani za May 4:

@JideJaydee I think its really high time others follow in ur Footsteps!! Count Me in!

Monday, November 5, 2012

0

P-FUNK NA FID Q, KUSUKA NGOMA NYINGINE KWA PAMOJA

Posted in ,


Pamoja na Huyu na Yule iliyofanywa na Master Jay kumtambulisha vema Fid, ni P-Funk Majani ndiye anapewa credits nyingi zaidi za kumweka kwenye chart rapper huyo kutoka Mwanza ambaye jina lake halisi ni Fareed Kubanda. Majani kupitia Bongo Records, ameshafanya hits kadhaa za Fid zikiwemo Mwanza Mwanza, August 13 na Chagua Moja.
Na sasa jamaa hawa wawili wameungana tena ambapo Majani kama kawaida yake amesimimia mdundo na masuala ya upishi zaidi na Fid kuspit rhymes zenye sumu kwenye mdundo wa Kinywele Kimoja.
>>>>>>>Ngoma hiyo itakuwa ya tatu kutoka kwenye albam yake Kitaalojia baada ya Fid kutweet, “KitaaOLOJIA ‘ The completion of the trilogy ‘
1-#ieLeweMitaa 
2- #SihitajiMarafiki *next release lini? P_Majani anajua #Tuombeane Dua na Majani kujibu, “it’s my first song to mix this week, Video ASAP!!!! I can’t stop replaying that trak.”
Tunaisuburi kwa hamu.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ