YALIYOJIRI LIGI KUU TANZANIA BARA NA RATIBA YA MECHI ZIJAZO:: NA WENZETU SOKA IN BONGO
Posted in Azam FC, Oljoro JKT, Simba SC, Vodacom Premier League, Yanga SCVPL: Simba yaipiga Azam, Yanga yaipiku Azam nafasi ya 2!!
Jumamosi, 27 Oktoba 2012 20:14
++++++++++++++++++++++++++
MATOKEO/RATIBA:
Oktoba 27
Simba 3 Azam 1
JKT Oljoro 0 Yanga 1
African Lyon v Kagera Sugar
Mgambo JKT v Tanzania Prisons
Ruvu Shootings v Polisi Morogoro
++++++++++++++++++++++++++
Bao la ushindi la Yanga lilifungwa na Mbuyu Twite katika Dakika ya 53.
Katika Mechi ya Simba na Azam, John
Bocco ndie alietangulia kuifungia Azam bao moja katika Dakika ya 5
lakini Simba ikazinduka na kupiga Bao 3 kupitia Felix Sunzu, Dakika ya
7, na bao mbili za Emmanuel Okwi.
++++++++++++++++++++++++++











