Ifanye Biashara Yako Iwe Inajulikana, Na Upate Wateja Wengi.
Kwa Vifaa Vyote Vya Michezo, Jijini Arusha, Wako Opposite Msikiti Mkubwa, Karibu na CCM Mkoa Wapo Pia Moshi na Babati, Tembelea Sasa
Pata Products Za Forever Living Kwa Afya Yako, Bila Kusahau Vipodozi. Piga 0755-029901.
Kwa Huduma Za KIMAPISHI, Katika Events Mbalimbali, Harusi, MISIBA, Barikio, Send Off nk.
Photo Editing, Graffiti Editions, Pia Kufanya Retouching. Kutengeneza Posters(MABANGO)
Next
Previous
Showing posts with label Octopizzo. Show all posts
Friday, August 30, 2013
Monday, July 8, 2013
OCTOPIZZO KUACHIA ALBUM YAKE MPYA(DEBUT) MWAKA HUU
Posted in Octopizzo
Rapper kutoka Kenya, akiwakilisha KIBERA (Number 8) will drop his 1st SOLO album mwaka huu … Octo ambae anatamba na ngoma kama IVO IVO, SO ALIVE, SWAG na nyinginezo anadai ameshamaliza kurekodi ngoma hizo na amewaomba fans wake kumpatia jina la ALBUM hiyo …
Octo amekuwa ni msanii/rapper anaefanya buzz kubwa sana nchini Kenya especially at the capital city – NAIROBI … Unaweza kupitia kwenye page ya Octo sasa hivi na kutoa pendekezo la jina hio …
Monday, July 1, 2013
JUST A BAND FT. OCTOPIZZO & STAN – DUNIA INA MAMBO
Posted in Just A Band, Octopizzo, StanNi video mpya ya wasanii kutoka Kenya, JUST A BAND wakiwa wameshirikiana na rapper OCTOPIZZO na STAN … Ngoma ya video hii inajulikana kama DUNIA INA MAMBO ambayo kwenye video yake inaonekana kuwa shot kizamani na hivyo kuleta mvuto wa kitofauti sana …
Saturday, May 18, 2013
LIST YA WATU MAARUFU KUTOKA KENYA NA TANZANIA, AMBAO WAMETAJWA NA MTANDAO WA KENYA KUA NI MAFREEMASONS | WACHAFUZI WA MAJINA YA WATU |
Posted in Ally Kiba, Camp Mulla, Diamond Platnumz, Jackline Wolper, Nonini, Octopizzo
Inawezekana kila kitu kina wakati wake, kuna muda watu
walikuwa wakisikia neno ‘Freemason’ ama ‘Illuminate’ kama inavyojulikana nchini
Kenya wengi walikuwa wanaiona ni habari kubwa, lakini kwa sasa hivi inaweza
kuchukuliwa kama sio big deal.
Sababu ni ile ile kuwa wengi wanaoendelea kwa haraka ama
kuwa juu katika kile wanachokifanya basi utasikia huyo ni member wa Freemason,
kwa upande wa Marekani wanasema ‘he/she just sold her/his soul to the
devil’. Japo kwa upande wa Marekani wapo
wanaokiri kufanya hivyo kweli, ila kwa Africa Mashariki hakuna msanii aliyewahi
kukiri.
Lakini yote hayo ni kama yanakanganya na kuonekana kama
hayana mantiki hasa pale ambapo vithibitisho vya kinachoongelewa huwa havileti
mantiki ya moja kwa moja. Pengine watu wanatafuta pesa kwa bidii na kumuomba
Mungu lakini kwa kuwa kwenye mstari wa juu wanajikuta wanahisiwa kuwa member wa
secret society (Freemason). Oh..au labda ndo vile kwa upande mwingine lisemalo
lipo na kama halipo laja !
Tunathubutu kuziita blaa blaa kwa upande mwingine, lakini
tukiweka kwenye mabano kuwa inaweza kuwa na ukweli, who knows!
Mtandao wa malimwengu wa nchini Kenya huenda ukawa na mfano
mzuri wa kile nilichokitaja hapo juu, mtandao huo kupitia mwandishi wake
imetaja majina ya wasanii wa Tanzania na Kenya wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa
Freemason, lakini kizuri zaidi ni kwamba mtandao huo umejaribu kuonesha
vithibitisho na kushindwa kupata jibu la moja kwa moja kwa nini wasanii hawa
wamekumbwa na hili. Inabaki hivyo hivyo kuwa tetesi tu.
Hawa ni wasanii waliotajwa na maelezo yanayowahusu:
TANZANIA:
1.Naseeb Abdul
Jumaa (Diamond Platinum)
Picha aliyopiga mwaka jana akiwa na mzungu anaeaminika kuwa
ni moja kati ya viongozi wa Freemason wakiwa wameweka pozi na kuonesha ishara
inayooaminika kuwa ni ya Freemason, na kwamba alipoulizwa yeye alisema
hakufahamu kama alikuwa anaelekezwa kupiga picha kwa pozi la ki-freemason. Kwa
mujibu wa mwandishi anaona inaweza kuwa kweli kwa sababu anaonekana kuenjoy!
Subscribe to:
Posts (Atom)
Msimamo Ligi Kuu TZ
Popular Posts
-
DOWNLOAD AUDIO TRACK ''BONDI by Watoto wa Bibi JAMBO SQUAD ft JUMA NATURE''
-
Papaa Mafido - My Story (Official Video)
-
Download new Track '' AMEN '' By mWana FA ft. Dully and A.Y
-
VIDEO 18+ : SHOWER SCENES FROM THE BIG BROTHER AFRICA "THE CHASE"
-
Cassim Mganga Ft Akili The Brean - Majeraha ( Official Video )
-
'True Blood' Season 5: Tina Majorino's Cast as Another Vampire, Tara's Back
-
NEW TRACK: BOB JUNIOR-KICHUNA (FREE DOWNLOAD)
-
HII SI YA KUKOSA: MKALI WA TECHNO JanB KUZINDUA ALBUM YAKE MACHI 9
-
HILI NDO GARI JIPYA LA MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA!
-
Justin Bieber Reveals North American Tour Dates to Promote 'Believe'
FOLLOW US
NEW BONGO MUSIC
A.B '93 MOBILE APP
Powered by Conduit Mobile
EXTRA BONGO MUSIC
My Top Blogs
LETS CHAT
HABARI ZA BURUDANI ULAYA
Soccer Latest Scores
FOLLOW US NB
KIBONGO ZAIDI
Blog Archive
Arnold Balati 2012. Powered by Blogger.








