Next
Previous
Showing posts with label Camp Mulla. Show all posts

Thursday, July 11, 2013

0

BAADA YA KUTOKA CAMP MULLA HII NI TRACK YAKE MPYA: MISS KARUN-PHOTOGRAPH

Posted in ,

Saturday, May 18, 2013

0

LIST YA WATU MAARUFU KUTOKA KENYA NA TANZANIA, AMBAO WAMETAJWA NA MTANDAO WA KENYA KUA NI MAFREEMASONS | WACHAFUZI WA MAJINA YA WATU |

Posted in , , , , ,
Inawezekana kila kitu kina wakati wake, kuna muda watu walikuwa wakisikia neno ‘Freemason’ ama ‘Illuminate’ kama inavyojulikana nchini Kenya wengi walikuwa wanaiona ni habari kubwa, lakini kwa sasa hivi inaweza kuchukuliwa kama sio big deal.

Sababu ni ile ile kuwa wengi wanaoendelea kwa haraka ama kuwa juu katika kile wanachokifanya basi utasikia huyo ni member wa Freemason, kwa upande wa Marekani wanasema ‘he/she just sold her/his soul to the devil’.  Japo kwa upande wa Marekani wapo wanaokiri kufanya hivyo kweli, ila kwa Africa Mashariki hakuna msanii aliyewahi kukiri.
Lakini yote hayo ni kama yanakanganya na kuonekana kama hayana mantiki hasa pale ambapo vithibitisho vya kinachoongelewa huwa havileti mantiki ya moja kwa moja. Pengine watu wanatafuta pesa kwa bidii na kumuomba Mungu lakini kwa kuwa kwenye mstari wa juu wanajikuta wanahisiwa kuwa member wa secret society (Freemason). Oh..au labda ndo vile kwa upande mwingine lisemalo lipo na kama halipo laja !
Tunathubutu kuziita blaa blaa kwa upande mwingine, lakini tukiweka kwenye mabano kuwa inaweza kuwa na ukweli, who knows!
Mtandao wa malimwengu wa nchini Kenya huenda ukawa na mfano mzuri wa kile nilichokitaja hapo juu, mtandao huo kupitia mwandishi wake imetaja majina ya wasanii wa Tanzania na Kenya wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa Freemason, lakini kizuri zaidi ni kwamba mtandao huo umejaribu kuonesha vithibitisho na kushindwa kupata jibu la moja kwa moja kwa nini wasanii hawa wamekumbwa na hili. Inabaki hivyo hivyo kuwa tetesi tu.
Hawa ni wasanii waliotajwa na maelezo yanayowahusu:
TANZANIA:
1.Naseeb Abdul Jumaa (Diamond Platinum)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgGeqkjTssTPVEn-y8y0T9B9xxMaWSQ1GrqKKJUBNRefij-CUg4Tkfq9ZQRgeX5-G4EyJbSu3qdQ9Piwa54oeKp77YZ5PotfboxVflRImxBnIzfftBd4B0thxnHVV7x4FEHBQg-tIYxbW0/s1600/DiamondFreemason.jpg
Picha aliyopiga mwaka jana akiwa na mzungu anaeaminika kuwa ni moja kati ya viongozi wa Freemason wakiwa wameweka pozi na kuonesha ishara inayooaminika kuwa ni ya Freemason, na kwamba alipoulizwa yeye alisema hakufahamu kama alikuwa anaelekezwa kupiga picha kwa pozi la ki-freemason. Kwa mujibu wa mwandishi anaona inaweza kuwa kweli kwa sababu anaonekana kuenjoy!

Tuesday, May 14, 2013

0

SNOOP LION, CAMP MULLA NA WENGINE WENGI KUFANYA SHOW YA MTV BASE WIKI HII

Posted in ,
Siku 4 kutoka leo, yaani tarehe 18 MAY mwaka huu litapigwa bonge la CONCERT likisherehekea MTV BASE upande wa Africa na kushirikisha wasanii kibao kutoka barani humo ...


CONCERT hiyo itakayofanyika KWA ZULU-NATAL katika uwanja MOSES MABHIDA STADIUM huko People's Park, DURBAN itaongozwa na rapper mkubwa duniani famously known as SNOOP DOGG and recently SNOOP LiON ...
#AFRICAALLSTARS imetoa line up ya wasanii watakaopiga show hiyo nchini SOUTH AFRICA kama ifuatavyo ...

Wednesday, February 20, 2013

0

BANKY W. f/ CAMP MULLA & SARKODIE - AFRICAN & PROUD

Posted in , , , ,


"African and Proud" - Banky W. Featuring L-Tido, CampMulla, Vector & Sarkodie. Who doesn't go hard !?? heavy track!!

Tuesday, September 25, 2012

0

SIKILIZA & DOWNLOAD NEW MUSIC: Camp Mulla - Prices ft Wiz Kid

Posted in ,


Camp Mulla, the hip hop group based in Nairobi, Kenya dropped a New Single Today featuring International Superstar Wizkid. Very Smooth Sounds. Wizkid shows a different side of his music Talent, You cant Miss it!. Check it out!

Friday, June 29, 2012

0

Camp Mulla denied US Visa to attend BET Awards ceremony

Posted in
CAMP MULLA BW1 Camp Mulla denied US Visa to attend BET Awards ceremony
Kenya’s nominees for the BET awards will not be in the US for the event. Kenya’s sensational teen group Camp Mulla’s hopes of attending the awards ceremony were dashed after the US embassy in Nairobi declined to issue them with a visitor’s visa.
The youngsters were hoping to be at the event which will be held in California on Saturday. Due to what was termed as a late submission of visa applications their visas could not be processed in time to make it for the event.
The hip-hop group is scheduled to popular US rock band Cold Play in fighting hunger in Sahel, West Africa. Chris Martin will also be a part of the event.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ