Next
Previous
Showing posts with label Nikki Wa Pili. Show all posts

Friday, June 28, 2013

0

PICHA: JINSI SHOW YA WEUSI ILIVYOKUA HAPO JANA CLUB71

Posted in , ,
Usiku wa jana ndani ya ukumbi wa disco wa Club 71 ulioko Tegeta Kibaoni ndani ya Jengo la Kibo Complex, kulikuwa na bonge la show kutoka kwa kundi la Weusi, ambapo waliokwenda kuwakilisha kundi hilo ni rapper Nikki Wa Pili pamoja na G-Nako….

Show ilikuwa ni kali sana ilihudhuriwa na watu wengi tuu.

Check baadhi ya picha za kwenye show hiyo …
IMG-20130628-WA0011
IMG-20130628-WA0010

Tuesday, May 14, 2013

0

USIKU WA KUMTOA MAMA YEYO NJE YA BOX @ MAISHA CLUB SIKU YA JUMAPILI 19 MAY USIKUOSE

Posted in , ,

Monday, December 17, 2012

0

23/12/2012 FUNGA MWAKA LA WEUSI (SUPRIZE KIBAO, UZINDUZI WA BUM KUBAM DVD, NA NYIMBO MPYA YA LORD EYEZ)

Posted in , , , ,
      

Hii ni ile ya mwisho kabisa kwa mwaka huu, WEEEUUUSSIIII kutoka ARA-CHUGGA!!! G-Nako a.k.a G WaraWara, Nikki Wa II, Joh Makini a.k.a Mwamba Wa Kaskazini, Lord Eyes a.k.a King Easy na Bonta. Hii inafunga mwaka huu kwa sababu kuu Tatu, Yeah!! 3...
  •  Show Kali ya WEUSI, ambapo ni Top 20 za WEUSI.
  •  Uzinduzi wa Ngoma Jipya la Lord Eyes, yep ni ile ambayo inasuburiwa kwa hamu na fans.
  •   Uzinduzi wa DVD ya BUM KUBAM kutoka kwa Nikki Wa II ikiwa ni pamoja na aina ya uuzaji mpya utakaoonekana pale.
  Yeeeeap yote hayo  ni jumapili ya tarehe 23 ndani ya New Maisha Club, Historia Nyingine hii hapa na Mwaka Unafungwa kinamna hii...

Sunday, October 14, 2012

0

VIDEO YA PEA BY WEUSI

Posted in , , ,


Kutoka A town city tunakutana na Weusi ni moja kati ya makundi ya Hip Hop yanayotikisa huu muziki wa hapa Bongo Land hata nje ya Bongo Land.Nafahamu kwamba kila mmoja alikuwa anajiuliza kuhusiana na video yao ya PEA sasa basi video imetoka na ni bonge la video kweli weusi wametisha mbayaaaa ebu fanya kama una click hapo chini halafu uone jinsi wakali hawa wana haki ya kupewa heshimu katika muziki huu wa Hip Hop.

Tuesday, October 9, 2012

0

HII SI YA KUKOSA KUONA>>The Cypher (Fiesta 2012) - Various Artists

Posted in , , , , ,


Hii Ni Cyoher Ya Wasanii Mbalimbali Wakati wa FIESTA 2012, SI Ya Kukosa, Ni nzuri sana. NICE FLOW toka Kwa Various Artista wa Hip Hop Bongo

Thursday, October 4, 2012

0

EPIC COLLABO TOKA KWA ARTISTS TOKA HIP-HOP CITY ARUSHA, DOWNLOAD AND LISTEN

Posted in , , ,

Epic Collabo,ikiwashirikisha Cannibal,JCB,MO Plus,Nakaaya,Niki wa Pili.BOnta,G Nako,Joes toka North Dwellers,vichwa viwili toka South Africa Thai aka Tha 1 na Tricky D.T pamojah na Slim Deezy wa North Dwellers.
Song;Wazi
Artists; CANNIBAL,JCB,MO PLUS,NAKAAYA,NIKI WA PILI, BONTA,GNAKO,JOES(NORTH DWELLERS),THAI THA 1,TRICKY D.T,SLIM DEEZY(NORTH DWELLERS)


Studio; Grandmaster Records
Prod; John Blass(John B)
stay tuned,more to come @grandmastertz
"Wazi" Cannibal,JCB,MO Plus,Nakaaya,Niki wa Pili,Bonta,G Nako,Joes,Thai Tha 1,Tricky D.T Slim Deezy

Thursday, March 8, 2012

0

Latest Songz In BONGO, Free Downloads

Posted in , ,





Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ