23/12/2012 FUNGA MWAKA LA WEUSI (SUPRIZE KIBAO, UZINDUZI WA BUM KUBAM DVD, NA NYIMBO MPYA YA LORD EYEZ)
Posted in G-Nako, Joh Makini, Lord Eyez, Nikki Wa Pili, WEUSIHii ni ile ya mwisho kabisa kwa mwaka huu, WEEEUUUSSIIII kutoka ARA-CHUGGA!!! G-Nako a.k.a G WaraWara, Nikki Wa II, Joh Makini a.k.a Mwamba Wa Kaskazini, Lord Eyes a.k.a King Easy na Bonta. Hii inafunga mwaka huu kwa sababu kuu Tatu, Yeah!! 3...
- Show Kali ya WEUSI, ambapo ni Top 20 za WEUSI.
- Uzinduzi wa Ngoma Jipya la Lord Eyes, yep ni ile ambayo inasuburiwa kwa hamu na fans.
- Uzinduzi wa DVD ya BUM KUBAM kutoka kwa Nikki Wa II ikiwa ni pamoja na aina ya uuzaji mpya utakaoonekana pale.
0 Maoni/comments: