Next
Previous
Showing posts with label Lionel Messi. Show all posts

Tuesday, September 3, 2013

0

MESSI AWEKA UHASAMA PEMBENI NA KUIUNGA MKONO MADRID

Posted in
NYOTA Lionel Messi amejitokeza kuiunga mkono Madrid katika azma yao ya kutaka kuwa Wenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Mwaka 2020.
Messi, ambae ni Mchezaji wa FC Barcelona, ameweka kando Uhasama wa Klabu yake na Real Madrid ili kuunga mkono Mji Mkuu wa Spain, Madrid, kuwa Wenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Mwaka 2020.
Akiwa huko kwao Buenos Aires, ambako ndiko uamuzi wa nani atakuwa Mwenyeji wa Olmpiki ya Mwaka 2020 utafanywa hapo Septemba 7 na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, Messi alijitokeza akiwa amejigubika Bendera Nyeupe ya Madrid ili kuonyesha kuunga kwake mkono kampeni ya Jiji la Madrid.
Akiwa huko kwao akiwa na Timu ya Taifa ya Argentina, Messi alisema: “Nipo na Madrid 2020.”
Awali Wawakilishi wa Messi waliamua Mchezaji huyo asiunge mkono kampeni hiyo ya Madrid kugombea Michezo hiyo ya Olimpiki lakini ni wazi sasa hilo limebadilika na Messi ameamua kuwa pamoja na Madridistas.
Kwenye uteuzi wa nani Mwenyeji, Madrid inashindana na Tokyo na Instabul ili kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya 42 ya Michezo ya Olimpiki.

Wednesday, August 14, 2013

0

BALLOTELI, BUFFON NA MESSI WAKUTANISHWA NA POPE FRANCIS

Posted in , , , ,
balotelli

Lionel Messi, Mario Balotelli, Buffon pamoja na wachezaji wengi walipata nafasi ya kuonana face to face na Pope Francis.

Wachezaji hao pamoja na full squad ya Argentina team walikuwa kwenye kongamono pamoja na Pope Francis.
Lionel-Messi-Gianluigi-Buffon

Wednesday, July 24, 2013

0

HILI NDO KOMBE WALILOLIPATA BAYERN MUNICH BAADA YA KUWAFUNGA BARCELONA HII LEO

Posted in , , ,

Leo hii Barcelona walikula kichapo cha bao 2-0 baada ya kufungwa na Bayern Munich, Barca iliingia dimbani ikiwa na nyota wake wote kasoro wale walioshiriki kombe la mabara, Huku Messi akiwa nahodha wao, Magoli yalifungwa na Mandzukic pamoja Na Lahm.


Sunday, June 2, 2013

0

REKODI ZOTE ZILIZOVUNJWA NA LIONEL MESSI KATIKA MSIMU WA 2012/2013

Posted in , ,
137 records & milestones that Lionel Messi has broken or equalled during the 2012/13 season.

#Lionel Messi became the first Barça player in 43 years to score 2 goals in the first 20 minutes of Match Day 1 of La Liga (Miguel Ángel Bustillo, 1969/70). 

#Lionel Messi became the first Barça player in 19 years to score in 3 consecutive Match Day 1's of a
La Liga season (Hristo Stoichkov, 1991-1993). 

#Lionel Messi became the only player this century to score a total of 7 goals on Match Day 1 of La
Liga (Forlan = 6, Negredo = 5). 

#Lionel Messi became only the 3rd player to score a total of 5 goals vs Real Sociedad at Camp Nou
(Rivaldo & Juan Manuel Asensi).

Sunday, May 5, 2013

0

WACHEZAJI 10 BORA KUTOKANA NA MTANDAO WA GMF

Posted in , , , , , , ,

10 Best Players in World Football According To GMF: 
10. Robert Lewandowski | Borussia Dortmund
9. Gareth Bale | Tottenham Hotspur
8. Zlatan Ibrahimovic | Paris St.Germain
7. Franck Ribery | Bayern Munich
6. Radamel Falcao | Atletico Madrid
5. Xavi | Barcelona 
4. Robin Van Persie | Manchester United
3. Andres Iniesta | Barcelona
2. Cristiano Ronaldo | Real Madrid
1. Lionel Messi | Barcelona


Friday, April 19, 2013

0

MARIO BALOTELLI AWAFUNIKA MESSI, RONALDO NA BECKHAM KWA KUTAJWA KUWA NDIO MWANASOKA MWENYE USHAWISHI MKUBWA ZAIDI DUNIANI

Posted in , , , ,


Mario Balotelli amekuwa ndio mwanasoka pekee kutajwa kwenye listi ya watu mashuhuri ya jarida la Time kwa mwaka 2013. Listi hiyo ambayo iliwahi kuwaingiza wansoka kama Beckham, Drogba, Messi na wengine huko miaka ya nyuma mwaka huu wote wametoswa na mtoto mtukutu Balotelli amekula shavu la kuwemo kwenye listi hiyo ambayo imewajumuisha wasanii kama Jay Z, , Beyonce, huku wanamichezo wakiwa wanne tu Balotelli, Lebron James, Lindsey Vonn na mcheza Tennis Li Na.

Baada ya kutangazwa kwa listi hiyo gwiji wa soka wa Italia na Chelsea ambaye kwa sasa ni manager wa Watford Gianfranco Zola, alizungumzia Balotelli kwa kusema: 

"Kwa mbali, watu wanaweza kudhani kichaa, lakini Mario ni kijana mzuri mwenye upendo na mcheshi. Ninakuhakikishia nimekuwa nikijisikia amani kila ninapokutana nae. Amerudi Italia akitokea England akiwa kama mshindi huku akiwa na nyota ya mvuto. Sasa anapaswa kutulia na kuwa mfano bora, anapenda presha, lakini ili kufanikiwa inabidi ajue namna ya kuidhibiti." Alisema Zola.
 CHANZO : SHAFIH DAUDA BLOG
0

HATIMAYE LIONEL MESSI ATUMA JEZI YAKE KWA PAPA FRANCIS - ANGALIA NAMNA ILIVYOPOKELEWA NA PAPA MWENYEWE

Posted in ,

Wednesday, April 3, 2013

0

TOO MUCH CLASS IN ONE PHOTO

Posted in ,
Messi & Beckham - Tuesday 2nd March @France

Friday, February 8, 2013

0

LIONEL MESSI: BORA NICHEZE MPIRA TU, MODELING HAPANA(ametoa comments vituko sana katika hili-LMAO)

Posted in ,


(Esquire)

Modeling stuff again? This is worse than eating broccoli covered in extra vitamins. Why can't they just let me play football and have fun and smile? If I wanted to be a model person I would have put on some fashion things and crossed the street without holding someone's hand and looking both ways already because modeling is dumb. They didn't even give me shoes this time. When will this be over?
(Esquire)

Wednesday, December 12, 2012

0

ANAYESHIKILIA REKODI YA MABAO SI MESSI, NI CHITALU: ZAMBIA FA WANENA

Posted in , ,
Kutoka SokaInBongo.com
GODFREY_CHITALU>>WADAI CHITALU NDIE MFUNGAJI BAO NYINGI, 107 MWAKA 1972!
Chama cha Soka cha Zambia, ZFA, kimedai kuwa Straika wao Godfrey Chitalu  ndie anaeshikilia Rekodi ya kufunga Bao nyingi ndani ya Mwaka mmoja wa Kalenda na si Lionel Messi kama inavyoshabikiwa.
Wikiendi iliyopita, Messi alifunga Bao lake la 86 kwa Mwaka 2012 na kuipiku Rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Mjerumani Gerd Muller alipofunga Mabao 85 Mwaka 1972 lakini sasa Zambia wameibuka na kudai Rekodi hiyo ya Goli nyingi bado inashikiliwa na Godfrey Chitalu aliyoiweka Mwaka 1972 kwa kufunga Bao 107 wakati akiichezea Kabwe Warriors na Timu ya Taifa ya Zambia.
Msemaji wa ZFA amedai: “Tunayo Rekodi hii, imerekodiwa Zambia lakini, bahati mbaya, haikurekodiwa Dunia nzima!”
ZFA imesema kuwa sasa wameunda Tume huru kuihakiki Rekodi ya Chitalu kuonyesha kila Mechi aliyofunga Goli na matokeo ya Tume hiyo yatatumwa CAF na FIFA ili wadhihirishe ukweli wa madai yao.
Godfrey Chitalu alifariki Mwaka 1993 kwenye Ajali ya Ndege iliyowaua pia Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zambia huko Nchini Gabon.
0

SABABU 10: CHAMAKH NI BORA KULIKO MESSI (VITUKO)

Posted in ,
10 reasons why Chamakh is better than Messi:

10. Chamakh has played professional football for teams in both France and England, something which Messi is yet to do.

9. Chamakh has scored in 6 consecutive Champions League matches, which is a record Messi is yet to break.

8. Chamakh's natural skin tone is better looking than Messi's skin tone, which is really pale and horrible.

7+6. When going for a header, Chamakh has no need to jump, whereas Messi needs to jump at least 5ft off the ground to reach Chamakh's hight, and there's no guarantee that he'll score, and the landing could put him at risk of injury. Chamakh is a better player at heading the ball and he is not reckless like Messi is by jumping and risking injury.

5. Chamakh conserves his energy the whole game, like an apex predictor ready to pounce, whereas Messi runs around the pitch in every minute of the game, loosing his energy. Which shows he is not conserving his energy wisely enough for the vital moments in a game.

4. Chamakh has a much better hair style than Messi, making him more attractive and more confident on the pitch in vital moments of the game. Messi has horrible hair and had missed clean cut chances before.

3. Chamakh is tall, which can put him to an advantage in future careers, like a basketball coach/player or a guard, something which Messi cannot do because of his height. No employer wants a short basketball coach/player or a short guard.

2. Chamakh is older than Messi, thus wiser when it comes to making crucial decisions on the pitch.

1. Chamakh has scored in the Carling Cup/Capitol One Cup, which is something Messi is yet to do and most likely never will do.

Thursday, November 29, 2012

0

TOP 3 INAYOWANIA MCHEZAJI BORA WA DUNIA

Posted in , , , , ,
Picha Ikionyesha Messi Akimkumbatia Iniesta baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora na UEFA.

Nominees For Best Player of The Year 2012  BALLON D'Or 
Lionel MESSI ( Argentina , Barcelona)

Andres INIESTA ( Spain, Barcelona)

Cristiano RONALDO ( Portugal, Real Madrid)

Tuesday, November 13, 2012

0

LIONEL MESSI ANYOOSHEWA BUNDUKI ALIPOFIKA SAUDI ARABIA

Posted in ,
 Lionel Messi gets a gun in his face. (©www.alriyadh.com)
Lionel Messi  touched down in the Middle East with the rest of the Argentina squad ahead of Wednesday's international friendly against Saudi Arabia, even he could not have expected the greeting he was about to receive.
The Barcelona forward's worldwide stardom seemingly knows no bounds, judging by the huge media scrum, and party of fans that came to Riyadh Airport to catch a small glimpse of the three-time Ballon d'Or winner.











Armed guards were forced to protect Messi as he made his way through the crowds of onlookers, with one soldier in particular accidentally placing his gun in a precarious position, that would have left even the coolest of customers a little hot under the collar.

ANGALIA HIYO VIDEO YA UKARIBISHWAJI WA KUSHANGAZA WA LIONEL MESSI HUKO SAUDI ARABIA>>>>

Thursday, October 18, 2012

0

RONALDO NA MESSI KUCHEZEA TIMU MOJA

Posted in , , ,


Baada ya wote wawili kukubali kutoa jersey zao kutoka El Classico iliyopita juzi zikapigwe mnada kwa ajili ya hisani inayoendeshwa na Rivaldo,jamaa hawa wamekubali ombi la Rivaldo la kucheza team moja katika mechi ya hisani itakayochezwa hivi punde..kaa tayari kuona kinachosubiriwa na wengi!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ