Next
Previous
Showing posts with label Barack Obama. Show all posts

Friday, August 2, 2013

0

KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST WAKOSOLEWA NA RAISI OBAMA

Posted in , ,
Rais Obama hajali ushawishi walionao celebrities kwa vijana wa leo. Katika mahojiano ya hivi karibuni na Amazon.com,Obama alisema ushawishi mbaya  kama vile wa Kim Kardashian na Kanye West haukuweza kumvuruga kiasi cha kutotekeleza azima yake ya ndoto ya Marekani aliyokuwa nayo tangu utotoni.
 Alaumu ushawishi huo mbaya walio nao na show za maisha halisi.


                                   
‘American Dream’ ilihusisha vitu vya msingi ni pamoja na kazi nzuri ambapo watasikia hali ya usalama. Elimu bora ... Watu walidhani kama wakifanya kazi kwa bidii watafika huko.... sidhani kama watu huwa wanajiambia, 'Nahitaji kuwa na nyumba ya miraba 10,000'.... Nadhani, pia kumekuwa na mabadiliko katika utamaduni. Sisi hatukuwekewa mambo wazi kama  watoto  wa siku hizi. Hakukuwa na dirisha katika maisha ya matajiri na maarufu. Watoto walikuwa hawafuatilii kila siku nini Kim Kardashian alikuwa amevaa au Kanye West anaenda wapi likizo na kufikiri kwamba kwa namna fulani hiyo ilikuwa ni alama ya mafanikio. ' Alisema  rais Obama.


Tuesday, July 16, 2013

0

FURAHI NA HILI TANGAZO LA VUVUZELA COMEDY: OBAMA AKISHUKURU WATANZANIA

Posted in ,

Monday, July 1, 2013

0

JIONEE MWENYEWE PICHA-HD UJIO WA RAISI BARRACK OBAMA

Posted in , ,

Friday, June 28, 2013

0

CHUO KIKUU HURIA TZ, KUMTUNUKU OBAMA PHD

Posted in , ,

Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye kupitishwa na Mkuu wa OUT, Dk Asha Rose Migiro.

“Tumeangalia vigezo vyote muhimu ambavyo mtu anastahili kupewa tuzo kama hii na tukaridhika kuwa Rais huyo anastahili kutunukiwa,” alisema Profesa Mbwete.


Friday, June 14, 2013

0

TAARIFA TOKA WHITE HOUSE: VITAKAVYOJUMUISHWA KATIKA SAFARI YA BARACK OBAMA

Posted in

When President Obama makes his first extended trip to sub-
Saharan Africa this month, the federal agencies charged with keeping him safe won’t be taking any chances.

Hundreds of U.S. Secret Service agents will be dispatched to secure facilities in Senegal, South Africa and Tanzania. A Navy aircraft carrier or amphibious ship, with a fully staffed medical trauma center, will be stationed offshore in case of an emergency.

Military cargo planes will airlift in 56 support vehicles, including 14 limousines and three trucks loaded with sheets of bullet­proof glass to cover the windows of the hotels where the first family will stay. Fighter jets will fly in shifts, giving 24-hour coverage over the president’s airspace, so they can intervene quickly if an errant plane gets too close.

The elaborate security provisions — which will cost the government tens of millions of dollars — are outlined in a confidential internal planning document obtained by The Washington Post. While the preparations appear to be in line with similar travels in the past, the document offers an unusual glimpse into the colossal efforts to protect the U.S. commander in chief on trips abroad.

Any journey by the president, such as one scheduled next week for Northern Ireland and Germany, is an immense and costly logistical challenge. But the trip to Africa is complicated by a confluence of factors that could make it one of the most expensive of Obama’s tenure, according to people familiar with the planning.

The first family is making back-to-back stops from June 26 to July 3 in three countries where U.S. officials are providing nearly all the resources, rather than depending heavily on local police forces, military authorities or hospitals for assistance.

The president and first lady had also planned to take a Tanzanian safari as part of the trip, which would have required the president’s special counterassault team to carry sniper rifles with high-caliber rounds that could neutralize cheetahs, lions or other animals if they became a threat, according to the planning document.

But officials said Thursday that the safari had been canceled in favor of a trip to Robben Island off the coast of Cape Town, South Africa, where Nelson Mandela was held as a political prisoner.

When The Post first asked White House officials about the safari last week, they said no final decision had been made. A White House official said Thursday that the cancellation was not related to The Post’s inquiries.

“We do not have a limitless supply of assets to support presidential missions, and we prioritized a visit to Robben Island over a two-hour safari in Tanzania,” said spokesman Josh Earnest. “Unfortunately, we couldn’t do both.”

Internal administration documents circulated in April show that the Obama family was scheduled to go to both Robben Island and the safari park, according to a person familiar with the plans.

Former presidents Bill Clinton and George W. Bush also made trips to multiple African nations involving similarly laborious preparations. Bush went in 2003 and 2008, bringing his wife on both occasions. Bush’s two daughters went along on the first trip, which included a safari at a game preserve on the Botswana-South Africa border.

Saturday, June 1, 2013

0

HOTELI YA NYOTA 5 KATIKATI YA JIJI LA DAR-ES-SALAAM KUFUNGWA NA BARACK OBAMA

Posted in ,
Wakati Rais wa Marekani, Barrack Obama akitarajiwa
kuwasili na msafara wa watu 700, baadhi ya hoteli zenye 
hadhi ya nyota tano jijini Dar es Salaam zimeanza 
kusitisha kupokea wageni kutokana na ujio huo.
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani ilisema 
Rais huyo, anatarajiwa kuwasili nchini Julai Mosi kwa 
ajili ya ziara ya siku tatu hadi Julai 3 mwaka huu ili 
kuimarisha uhusiano baina ya nchi hiyo pamoja na nchi 
za Afrika. Msafara huo utajumuisha watu mbalimbali 
wakiwamo wafanyabiashara.

Tuesday, May 21, 2013

0

BARACK OBAMA KUJA TANZANIA MWEZI UJAO

Posted in

Obama Expected in Senegal, Tanzania and South Africa Next Month

President Barrack Obama will visit Dakar next month,ording to reports in the Senegalese press.

The newspaper L'As said today that the president will be in Dakar June 26 to 28 and will be accompanied by First Lady Michelle Robinson Obama and daughters Malia and Sasha.



Newspapers in South Africa have also been reporting an upcoming visit by the American president.

Obama's only other sub-Saharan African travel was in 2009, when he made a short trip to Ghana and delivered a major policy address in Accra.



Trip planning also includes a stop in Tanzania, with Rwanda mentioned as a less likely choice.



Early plans that included Ethiopia have now been scrapped, and the U.S.-Sub-Saharan Africa Trade and Economic Cooperation Forum where the President was tentatively slated to speak has been postponed. The Forum was created by the African Growth and Opportunity Act (Agoa).



Nigeria is now considered unlikely to be included on the President's itinerary, despite early planning for a two-day visit and heavy lobbying by President Goodluck Jonathan's government and reports in the Nigerian press, including 'Obama Considers Stopover in Nigeria' in ThisDay.

Wednesday, May 1, 2013

0

OBAMA, NA WATUMIAJI WENGINE 10 WA MADAWA YA KULEVYA DUNIANI AMBAO WAMEFANIKIWA SANA

Posted in , , ,

STEVE JOBS 
Imeripotiwa kwamba mwanzilishi wa Apple alitumia madawa kweny muhula wa kwanza kule Reed College in Portland, Oregon mwaka 1972. Tangu aach shule, Jobs amekuwa moja ya watu wenye mafanikio zaidi nchini America na dunia nzima kwa ujumla. Mwaka 1984,medali ya Taifa ya Technology nchini Marekani kutoka kwa rais wa kipindi hicho Ronald Reagan. Mwaka 2007, Fortune Magazine walimtaja kama mtu mwenye nguvu zaidi kwenye biashara na kisha mwaka 2011 gavana wa California Arnold Schwarzeneggerallimuweka kwenye California Hall of Fame.pia walimtaja kama CEO wa muongo (CEO of the decade) mwaka 2009 huku Forbeswakimuweka #57 kwenye list ya “World’s Most Powerful People” mwaka huo huo. 

Friday, April 19, 2013

0

OBAMA ATOA KAULI KUHUSU JAY Z NA BEYONCE KUTEMBELEA CUBA.

Posted in , ,

Rais wa Marekani Barack Obama ameikana ziara ya rapa nyota nchini humo Jay- Z na mke wake Beyonce akisema kuwa hana habari na safari yao waliyoifanya hivi karibuni kwenda nchini Cuba

Hivi karibuni Jay Z na Beyonce walisafiri kwenda nchini Cuba kwa ajili ya kuadhimisha miaka mitano ya ndoa yao jambo lilolosababisha maofisa wa Chama cha Republican kutaka ufanyike uchunguzi ama amevunja vikwazo vya kusafiri

Akiwa nchini humo rapa huyo alizindua kibao chake alichokipa jina la'Open Letter' ambacho mashahiri yake yanaonekana kama Obama alikuwa amemzuia kufanya ziara hiyo,hata hivyo taarifa iliyotolewa na Msemaji wa White House, Jay Carney ilieleza kuwa utawala wa Serikali ya Rais Obama ulitoa baraka zote kuhusu safari hiyo ya Jay Z kwenda Cuba na kwa sasa rais huyo ametoa kauli kama hiyo

Thursday, November 8, 2012

0

HUYU NDO MWANAMKE ALIYEZAA WATOTO NA KUWAITA ''BARACK NA MITT ROMNEY''

Posted in , ,

Owuor akiwa na wanae Obama na Romney
Mwanamke mwenye miaka 20 Millicent Owuor jana amejifungua watoto mapacha na kuwapa majina Barack Obama na Mitt Romney.
Watoto hao walizaliwa katika hospitali ya Siaya kusini magharibi mwa Kenya.
Owuor aliwaambia waandishi wa habari kuwa aliamua kuwapa majina hayo wanae ili kuikumbuka siku ya uchaguzi huo wa Marekani.

Saturday, October 6, 2012

0

SABABU ZA SNOOP DOGG KUMPIGIA KURA BARACK OBAMA NA SI MITT ROMNEY

Posted in , , ,
Snoop Dogg ameamua kuandika kwenye karatasi sababu za kwanini atampigia kura rais Barack Obama kwenye uchaguzi wa mwezi ujao na kwanini hatompigia kura mpinzani wake Mitt Romney wa chama cha Republican na kupost picha ya kile alichokiandika kwenye mtandao wa Instagram.Zisome sababu hizo na ukamilishe weekend yako kwa kicheko kirefu.




Thursday, May 10, 2012

0

GOP Newsletter Calls for “Armed Revolution” If Obama Re-elected

Posted in ,

A monthly newsletter published by the Greene County Republican Committee in Virginia is under fire for its inclusion of a column calling for an “armed revolution” if President Barack Obama is elected to a second term as POTUS.
“We shall not have any coarse [sic] but armed revolution should we fail with the power of the vote in November,” Editor Ponch McPhee wrote. “This Republic cannot survive for 4 more years underneath this political socialist ideologue.”
According to the Huffington Post, McPhee urges readers to encourage other conservatives to vote in order to defeat Obama. He refers to Obama as an “ideologue unlike anything world history has every witnessed or recognized.”

Thursday, May 12, 2011

0

Rapper Common Pushed Through Negative Press To Perform At The White House

Posted in ,
Rapper and actor Common pushed through a bevy of negative press to perform at the White House poetry event.




Read below for a short list of the overly-criticized invite of Common to the White House. According to ABC,



"The judgment is just so lacking of class and decency and all that's good about America with an invite like this," Sarah Palin said. "They're just inviting someone like me or someone else to ask, 'C'mon Barack Obama who are you palling around with now?'"





Karl Rove, the former deputy chief of staff to George W. Bush, said



"Yes, let's invite a misogynist to the White House, a guy who's called for violence against police officers, and called for killing the former president of the United States George W. Bush," Rove said.



"This guy is a thug," Rove added. "And why they are inviting him to poetry night at the White House speaks volumes about President Obama and this White House staff. Who is asleep at the vetting desk?"



Huffington Post did some digging and added how Fox felt about rapper Common last October - roughly 7 months ago,



Reporter Jason Robinson interviewed the "rap legend" and told him, "your music is very positive. And you're known as the conscious rapper. How important is that to you, and how important do you think that is to our kids?"



Common replied that it's a "significant role. I just try to show who we are as well-rounded people and I'm happy to be known as the conscious artist."



In the end Common's performance went off without a hitch telling the crowd at the end, "Thank you and God bless."
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ