Next
Previous
Showing posts with label Mitt Romney. Show all posts

Thursday, November 8, 2012

0

HUYU NDO MWANAMKE ALIYEZAA WATOTO NA KUWAITA ''BARACK NA MITT ROMNEY''

Posted in , ,

Owuor akiwa na wanae Obama na Romney
Mwanamke mwenye miaka 20 Millicent Owuor jana amejifungua watoto mapacha na kuwapa majina Barack Obama na Mitt Romney.
Watoto hao walizaliwa katika hospitali ya Siaya kusini magharibi mwa Kenya.
Owuor aliwaambia waandishi wa habari kuwa aliamua kuwapa majina hayo wanae ili kuikumbuka siku ya uchaguzi huo wa Marekani.

Saturday, October 6, 2012

0

SABABU ZA SNOOP DOGG KUMPIGIA KURA BARACK OBAMA NA SI MITT ROMNEY

Posted in , , ,
Snoop Dogg ameamua kuandika kwenye karatasi sababu za kwanini atampigia kura rais Barack Obama kwenye uchaguzi wa mwezi ujao na kwanini hatompigia kura mpinzani wake Mitt Romney wa chama cha Republican na kupost picha ya kile alichokiandika kwenye mtandao wa Instagram.Zisome sababu hizo na ukamilishe weekend yako kwa kicheko kirefu.




Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ