Wednesday, November 27, 2013

0

WIMBO WANGU MPYA UMETOLEWA BILA OFFICIAL RELEASE :STAMINA ALIONGELEA

Posted in
Wimbo wa Stamina Ft Criss Wamarya unaoitwa Mngekuwepo umetoka kimakosa, jana wimbo huu uliwekwa hapa katika website hii mda huu nimetoka kupigiwa simu na Stamina na kuniambia huu wimbo haujatoka kabisa wala hakuwa na plani ya kutoa wimbo huu, Stamina anasema wimbo huu ulikuwa unatakiwa uwe kwenye album na sio wakutolewa. Wimbo ambao alikuwa anatakiwa kuutoa ni mwingine kabisa na utatoka wiki ijayo, Stamini anawaomba radhi mashabiki wake kwa kitendo hiki cha kutolewa huu wimbo na mtu asiyemjua kabisa.


NOTE: Please wimbo huo usichezwe sehemu yoyote umetoka kimakosa,

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ