DOGO ASLAY KUFANYA NGOMA NA JAGUAR
Posted in Dogo Aslay, Jaguar, Said FelaDogo Aslay ameingia studio na msanii mkali kutoka Kenya “Jaguar” ili kuweza kutoa collabo. Manager wa Dogo Aslay “Said Fela” amesema kwamba wasanii hao wawili wako mbioni kutoa nyimbo pamoja.
0 Maoni/comments: