INSPECTOR HAROUN NA JUMA NATURE KUTOA ALBUM YA PAMOJA
Posted in Inspector Haroun, Juma Nature
Kabla ya ‘Mzee wa Busara’, ‘Unga Robo’ ‘Tatu Bila’ and before ‘Wanaume Halisi’, Juma Nature na Inspector Haoun had one of the most memorable feuds in music history.
Lakini sasa wawili hawa – wafalme wa Rap Katuni wanakuja ku-bless music na collaboration albam.
According to Insp. Haroun aka Babu who’s also a founder wa kundi la Gangwe Mob, albam hiyo inakuja kurudisha utawala wa Rap Katuni kwenye ramani ya music industry na kwa sasa
ipo kwenye hatua za mwisho kukamilika.
“Mimi na Sir Nature tunapofanya kazi mara nyingi tuna-deliver hits. Hivyo tulikaa chini na kuamua kutengeneza albam ya pamoja ambayo pia itarudisha hadhi ya muziki wa TMK – Rap Katuni. Tunakuja kukata kiu ya mashabiki wetu.”
When asked ni lini hasa albam hiyo itatoka, Inspekta said, “Albam ipo kwenye maandalizi mazuri sana mpaka sasa, na hivi karibu tuta-release ngoma ya kwanza though mpaka sasa hatujaamua mkono upi
tuuachie.
Tumefanya kazi na wasanii wengi wakubwa ndani East Africa, wakiwemo wanetu wa TMK. Soon baada ya Idd El Fitri tutangaza release date ya albam. Pia tutafanya tour ya nchi nzima katika kuitangaza albam
yetu.”
0 Maoni/comments: