ONA JINSI FEZA KESSY ALIVYOPOKELEWA BOTSWANA NA O'NEAL
Posted in Big Brother Africa The Chase, Feza Kessy, O'NealFeza Kessy ameamua kumfuata boyfriend O’neal pande za Botswana baada ya kukiri live kwamba anampenda sana O’neal japokuwa wamekutana tu kwenye Big Brother.
O’neal alimpokea Feza na kumpeleka akapate lunch, after that wapenzi hao walielekea nyumbani kwa O’neal.
Kupitia ukurusa wake wa twitter, Feza Kessy aliandika maneno haya “i’m still overwhelmed by Botswana. I’m in shock, i don’t know what i did yo. I’m speechless.”
0 Maoni/comments: