ZITTO NAYE ALIONGELEA SUALA LA LADY JAY DEE NA CLOUDS MEDIA
Posted in Clouds FM, Lady Jay Dee, Zitto Kabwe
Mgogoro kati ya Lady JayDee a.k.a Anaconda na uongozi wa
Clouds Media Group bado ni issue, mengi yameshazungumzwa lakini kuna tweet moja
ambayo mh. Zitto Kabwe ameona inafaa zaidi kuleta mabadiliko katika mzozo huo.
Zitto aliirudia Tweet ya Absalom Kibanda ya May 5
iliyosemeka.
“An Iron Lady! Turn
back and forgive. There’s power behind forgiveness”
Lady JayDee nae akamjibu:
@absakibanda Nakuelewa sana brother
Tweet ya Absalom ilimvutia zaidi Zitto Kabwe ambae
aliandika:
“This tweet will surely bring peace. Watch “@absakibanda:
@JideJaydee An Iron Lady! Turn back and forgive. There's power behind
forgiveness”
Na akasisitiza zaidi na kusema hili ni neno la Busara:
“+1 in these words of deep wisdom “@absakibanda: @JideJaydee
An Iron Lady! Turn back and forgive. There's power behind forgiveness”
0 Maoni/comments: