Wednesday, May 8, 2013

0

TMK WANAUME HALISI - FITINA (NEW MUSIC) | HII NDO ILE NYIMBO ALIYOTAJWA SAM MISAGO

Posted in , ,
Ni ngoma mpya kutoka kwa kundi la TMK WANAUME HALISI ambalo linaongozwa na mwanamuziki mkongwe kabisa katika muziki huu, Juma Nature ...


Sasa kundi hili limeachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "FITINA" ...
Kama unakumbuka tulishawaletea kipande cha wimbo huu, kipande ambacho aliimba Juma Nature ikiwa ni kama Diss kwa mtangazaji ambae alimtimua katika kipindi chake kwa sababu Nature alikuwa amevaa ndala pamoja na vest ...
Chukua time yako ya kusikiliza ngoma hii hapa chini ...

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ