M-RAP NA DEDDY KUTOA TRACK MPYA | KAA TAYARI
Posted in BHitz, Deddy, M-RapM-RAP LION ambae pia alichana vizuri kwenye ngoma ya DJ CHOKA, PRESS PLAY akisimama vizuri kwenye VERSE ya kwanza anatarajia kuachia kazi yake nyingine itayofahamika kama "ATTENTION" ...
Katika ngoma hiyo ambayo amempa tena shavu msanii kutoka BHitz akijulikana kama DEDDY ... Ngoma hii itakuwa Produced na Producer Pancho Latino pamoja na Hermy B wote kutoka BHitz ...
Mashabiki wa M-RAP endeleeni kutembelea GongaMx ili muwe wa kwanza kuisikiliza ngoma hiyo hapa kwa mara ya kwanza ...
0 Maoni/comments: